Unaugulia maumivu ya Okrah ukiwa wapi?Nasikia ismailia umisseta ......
Matusi hayana maanaWale wenye deni Uturuki mtafute mchezaji mwingine wa kukopa huyu Okrah atawatoa mavi
Kwa hiyo ikicheza jana leo haiwezi kucheza?Hii timu si imecheza jana mechi ya ligi ya Misri wandugu? Au Mimi ndio sielewi View attachment 2294544
Acheni uongoMchezo uliomalizika jioni hii Kati ya Simba na Ismailia umeishia sare ya 1-1 katika mchezo wa kwanza wa pre-season kwa Simba. Bao la Simba lilifungwa na Augustine Okrah.
Simba nguvu moja, wale wa matombo wasio na nauli safari inaanza kesho kwa miguu hamna passport wala visa.
kwa hiyo walivyocheza jana walifungiwa uwanjani?Hii timu si imecheza jana mechi ya ligi ya Misri wandugu? Au Mimi ndio sielewi View attachment 2294544
Anataka awaonyeshe utops jinsi timu ilivyo ngumu inavyowachabanga timu za hukokwa hiyo walivyocheza jana walifungiwa uwanjani?
Waelezeee waelezeee.Huyu Okrah seriously atawatoa watu utumbo, jamaa ana confidence muda wote anatabasamu tu, hana pressure sijui ya ligi mpya au kuzoea mazingira..
Huko Misri ana siku mbili tu ameshawanyoosha wenyeji, sasa akirudi huku akakaa wiki akienda uwanjani siku hiyo atalia mtu...
Angalizo tu/ Onyo:
Okrah kwa kipaji alichonacho usimkamie, ndio atakuvunja nyonga, mbavu, na uti wa mgongo kwa pamoja, kwasababu ukimkamia utamfanya atumie akili kubwa zaidi itakuwa na madhara ya muda mrefu kwako mpinzani.
Moro united jipimeni nae huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]