ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,362
- 2,991
Mchezo uliomalizika jioni hii Kati ya Simba na Ismailia umeishia sare ya 1-1 katika mchezo wa kwanza wa pre-season kwa Simba. Bao la Simba lilifungwa na Augustine Okrah.
Simba nguvu moja, wale wa matombo wasio na nauli safari inaanza kesho kwa miguu hamna passport wala visa.
Simba nguvu moja, wale wa matombo wasio na nauli safari inaanza kesho kwa miguu hamna passport wala visa.