Simba yajitoa Kagame Cup

Simba yajitoa Kagame Cup

Mashindano ya huko mbele ni makubwa kuliko Kagame Cup,kwa msimu huu Simba ndo iliyocheza mechi nyingi zaidi ya timu yoyote Africa, imecheza mechi zaidi ya 60,wachezaji wanahitaji kupunzika ,kupata maandalizi na kujioanga upya
Nyie si ndio mlikuwa mnajivunia kuwa ndio mabingwa wa kihistoria wa hilo Kombe, sasa hivi limekuwa kombe la mbuzi
 
Maneno mengi sanifu ya Kiswahili yapo lakini aghalabu huwa tunayakwepa kuyatumia kulingana na mazingira e.g kuzaa (sanifu) lakini kwa binadamu tunaita kujifungua nk,nk
Ni Kiswahili sanifu hakuna unyanyapaa hapo.
Umesikia ya Mo? Keshawekeza billion 12 hadi sasa. Mpeni timu awape chenji yenu
 
KIKOSI CHA YANGA KILICHO KIMBIWA NA SIMBA KAGAME CUP:

1.FAROUK (Kenya)
2.BOXER (Tz)
3.MBAGA (Tz)
4.MORO (Ghana)
5.YONDANI (Tz)
6.MUSTAPHA (Burundi)
7.BIRIGIMANA(Rwanda)
8.FEI TOTO (Tz)
9.KALENGO (Zambia)
10.SADNEY (Namibia)
11.SIBOMANA (Rwanda)

SUB:

METACHA
SONSO
TSHISHIMBI
NGASA
MAKAME
 
Kwa ule usajili wa Yanga timu ya wananchi ulivyo wa akili kubwa hata ningekuwà mimi ndo uyo Magori ningejitoa
Usajili wa kawaida sana.sema simba ni next level endeleeni kushindana na lipuli.Acha tukajiandae kwa mwakani .
 
Mashindano ya huko mbele ni makubwa kuliko Kagame Cup,kwa msimu huu Simba ndo iliyocheza mechi nyingi zaidi ya timu yoyote Africa, imecheza mechi zaidi ya 60,wachezaji wanahitaji kupunzika ,kupata maandalizi na kujioanga upya

Na wakina Sadio Mane wamecheza ngapi, ok sio mbaya soka la bongo
 
Maneno mengi sanifu ya Kiswahili yapo lakini aghalabu huwa tunayakwepa kuyatumia kulingana na mazingira e.g kuzaa (sanifu) lakini kwa binadamu tunaita kujifungua nk,nk
Ni sawa. Pia usisahau kwamba albino si Kiswahili. Labda siku hizi limekuwa. Sina uhakika. Kiswahili chake ni Zeruzeru. Si tusi na halina ukakasi.
 
Nyie si ndio mlikuwa mnajivunia kuwa ndio mabingwa wa kihistoria wa hilo Kombe, sasa hivi limekuwa kombe la mbuzi
Ni mashindano mazuri ila hayana sababu ya kuvuruga ratiba yetu... Tuache kwenda Portugal eti twende kwa Musonye?
 
Back
Top Bottom