Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,735
- 5,974
Defense mechanism... Ni uoga tu na Kutengeneza mazingira ya kulalamika Kuwa wanaonewa kesho wakifungwa. Viongozi wa Simba walifaa sana wawe viongozi wa Twiga stars, maana kulia lia kumezidi kama wa**KE. Ligi nzma nawasikia Simba tuuu wakilalamika kuonewa.. Wamecheza na stand United pale shy, mavugo akajirusha sarakasi, ikafunikwa wala sijasikia wakisema wanataka refa atoke nje kati ya mechi yao na stand.... Hawakubali matokeo ya kufungwa hawa jamaa,.. Mechi 2 za mwisho wamelia Kuwa Yanga inawahujumu, sasa Yanga aliyepoteza michezo 2 kahujumiwa na Simba? Uongozi haukubali makosa kwa mashabiki wao wanapokosea, hujivua na kusingizia Yanga, na mashabiki wa Simba kwakua ni mambumbumbu hawasomi alama za nyakati. Hiyo ndo mikia bhana.