Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba

Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba

Nalaani uhuni uliofanywa na muhuni saidi mtanda wa Kuivamia klabu ya simba ikiwa mazoezini na kuwakamata baadhi ya maafisa wa simba baada ya viongozi wa pamba kuleta fujo na kumtumia muhuni Said Mtanda kuja kuwavamia na kuwafanyia simba fujo.

Hii haikubaliki na haitapita hivi hivi sisi mashabiki tutaplay part yetu watakuja waje wahuni wale.

Wakija Dar msije kulia lia humu ndani tukianza kudili nao.

PIA SOMA
- Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba
 
Sasa pale alienda kufanya uenyekiti wa ulinzi na usalama au alikuwa na agenda za kishabiki? Kunamuda unajiuliza hivi huyu ni mteule wa Rais kweli?!
Kama anayewateua mwenyewe hajui hata alifanyalo, hao wateuliwa si ndio watakuwa takataka kabisa.
 
Mambo ya kutekana yamefika uwanjani safi sana. Ndio maana sishabikii mipira ya bongo
 
Mtandao SI ndio aliyemtetea yule mkuu wa mkoa aliyelawiti Mwanafunzi?
 
On, kisa Simba ndiyo anamuona rais na RC hawafai. Wakati kila kitu hakiko sawa, ndiyo maana wenye akili wanapigania katiba mpya.

Amka , pigania nchi yako kwa kudai katiba mpya.
 
Huwa/amewahi kuhakiki ulinzi na usalama kwa wapinzani wengine kabla ya Simba?
 
Kila la heri Simba. Dawa ni kuifunga Pamba ili kuharakisha ishuke daraja mwakani
 
Vurugu hazijafanywa na rc wala pamba jiji, zimefanywa na akili kumkichwa, mwenye 2d tyr amenielewa. Yanga bingwa.
 
Acheni kumzodoa mkuu wa mkoa ,yeye ndio Kiongozi mkuu wa Mkoa kama mnafanya fujo kwa nini asifike kuwashughulikia ????
 
Pamoja na makandokando yote ya Makonda lakini Arusha tuna mkuu wa mkoa
 
Kwa hiyo 5imba nyny ndio mnahaki au kibali Cha kuwafungia ndani viongozi wa pamaba FC na kuwapiga , asingekuja si usalama ungevurukika eneo hilo
 
Back
Top Bottom