Simba yaleta Msenegal mwingine, Abdalah Ndow


mkuu hebu tukokotolee hiyo euro 50,000 kwa pesa za madafu ni sawa na sh. ngap
 
Mambo yote hadharani, hakuna kudanganyana!

Kwa hali hii, huyu naye ni majanga tu.

mkuu Makoye Matale ,,, hatuwezi jua labda anaweza fufukia kwenye ligi yetu ya bongo akaonekana mfalme pale mitaa ya kariakoo kwa mambumbumbu fc,,,,aka wazee wa mchangan
 
Kama bongo star search

Umenena Mkuu. Timu zetu zinatafuta wachezaji kwa mtindo wa Bongo Star Search. Ifike mahali Club zetu ziwe na maskauti wa kufuatilia wachezaji kwenye ligi mbalimbli. Tathmini ifanyike mapema kusiwe na haja ya majaribio zaidi ya kupima afya kabla ya kusajili.

Lakini uskauti hauwezi kufanikiwa ikiwa timu haijui inaupungufu maeneo gani.
 
Mkuu hapo Mikia watapaswa kuachia kama 120,000,000/= kupata huduma ya star huyu.

Hapana, jamaa hana timu kwa sasa hivyo mikia watajichukulia kama walivyofanya kwa Okwi au kama vile Azam walivyojichukulia Singano na Domayo.
 

..mkuu hapa ni janja janja..mawakala wenyewe akina Said Tully..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…