Simba yaleta Msenegal mwingine, Abdalah Ndow

Simba yaleta Msenegal mwingine, Abdalah Ndow

Wakuu, data za mchezaji huyu hizi hapa :

Timu ya mwisho : Dynamo Bukarest
Wakala : Ievgen Zinchenko
Thamani yake euro 50,000
Msimu 2013 - 2014
Timu ilicheza mechi za ligi kuu 34
Pape alianza mechi mbili za kwanza
Mechi ya kwanza dakika alizocheza 75
Mechi ya pili dakika 78
Mechi mbili zilizofuata alianzia benchi ambapo alicheza dakika 19 na 25
Mechi ya tano alikaa benchi tu. Baada ya hapo hata benchi hakukaa tena.
Hakuwa na injury yoyote. Hakuwahi kufunga goli. Hakuwahi kutoa assist yoyote. Jumla ya dakika alizocheza ligi nzima ni 197.
Pia mechi ya 12 alikuwa on bench.

Mechi za kombe la ligi hakucheza wala kukaa benchi.

Hiyo ndio record ya Ndio, kutoka mtandao wa Pape Ndaw - Performance data - Transfermarkt

mkuu hebu tukokotolee hiyo euro 50,000 kwa pesa za madafu ni sawa na sh. ngap
 
Kama bongo star search

Umenena Mkuu. Timu zetu zinatafuta wachezaji kwa mtindo wa Bongo Star Search. Ifike mahali Club zetu ziwe na maskauti wa kufuatilia wachezaji kwenye ligi mbalimbli. Tathmini ifanyike mapema kusiwe na haja ya majaribio zaidi ya kupima afya kabla ya kusajili.

Lakini uskauti hauwezi kufanikiwa ikiwa timu haijui inaupungufu maeneo gani.
 
Mkuu hapo Mikia watapaswa kuachia kama 120,000,000/= kupata huduma ya star huyu.

Hapana, jamaa hana timu kwa sasa hivyo mikia watajichukulia kama walivyofanya kwa Okwi au kama vile Azam walivyojichukulia Singano na Domayo.
 
Umenena Mkuu. Timu zetu zinatafuta wachezaji kwa mtindo wa Bongo Star Search. Ifike mahali Club zetu ziwe na maskauti wa kufuatilia wachezaji kwenye ligi mbalimbli. Tathmini ifanyike mapema kusiwe na haja ya majaribio zaidi ya kupima afya kabla ya kusajili.

Lakini uskauti hauwezi kufanikiwa ikiwa timu haijui inaupungufu maeneo gani.

..mkuu hapa ni janja janja..mawakala wenyewe akina Said Tully..
 
Back
Top Bottom