Simba yamaliza msimu kwa unbeaten record ya mechi 21

Hakuna mechi ambayo Simba walicheza siku moja baada ya Yanga na ikaisha kwa sare au kufungwa? Na je hakuna mechi ambayo Yanga amecheza baada ya siku moja na imeisha kwa sare au kufungwa?
Unapokuwa unafanya analysis ya jambo, hauchukui scenario moja ndiyo ukaitumia kama conclusion maana hiyo inakuwa ni outlier au rare case badala yake general conclusion inachukua scenario zilizojirudia mara nyingi zaidi.

Baada ya kusema hayo, rudi utafute rekodi za ratiba zao duru la pili na matokeo yao utuletee ili tuyachambue pamoja.
 
Mta tafta sababu nyingi zisizo na maana, fanyeni usajiri sio maneno mengi! basi kama msimu huu mpo vizuri tulieni hivyo hivyo next season tutarudi hapa
 

Malizia
Yanga Bingwa
 
Mta tafta sababu nyingi zisizo na maana, fanyeni usajiri sio maneno mengi! basi kama msimu huu mpo vizuri tulieni hivyo hivyo next season tutarudi hapa
Kila timu inafanya usajili, hilo haliko kwenye mjadala. Kelele ninazozisikia za watu wa kuachwa baadhi ni wachezaji waliokuwa tegemeo kina Kisinda, hilo unalizungumziaje?
 
Kwahiyo suala la kiatu tumeliacha sasa tumehamia unbeaten!!

Yanga bingwa.
 
Ukomile mumumo kalumbu, gwe lekaga itolo, nandile kukisyuka ikisu kya kukaja
Wadiz ni wa kiume nkamu, does it sound ladish or feminine?najua lugha yenu I lived there a huge sum of years like 15 years
 
Simba ni genge la wahuni kama ilivyo kwa TFF.

Mchezaji mmoja anafunga magoli 7 kwenye mechi 2 mfululizo za mwisho!

Hapa kuna upangaji wa matokeo, wahusika fanyeni kazi zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…