Simba yamfukuzisha kazi kocha wa Wydad Casablanca

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Wydad Casablanca ambayo inatarajiwa kumenyana na Mamelodi Sundowns katika hatua ya semi final ya ligi ya mabingwa afrika imemfukuza kazi kocha wake mhispania Juan Carlos.

Kazi ya ukocha amepewa Sven, kocha wa zamani wa Simba.

Sababu za kumfukuza kazi kwa mujibu wa vyombo vya habari vya kimataifa ni madai ya uongozi kuwa they are not convinced with the performance hasa hasa wanaamini Wydad sio timu ya kupata ushindi kwa taaaaabu dhidi ya Simba kwenye mechi zote 2.

Wanadai Wydad ilikuwa ya kuipiga Simba nje na ndani tena kwa mabao mengi tu.

Uongozi umedai kama Raja aliweza kumpiga nje ndani iweje wao wapate taabu.

Wameona kocha huyo atawapigisha shoti na Mamelod, hivyo wamemalizana naye mapema t
 
Aaaahaaaaaa
 
Sasa je, Kufa kiume sio team ya sports sports
 
Sawa kabisa, Wydad walikuwa wanacheza mchezo wa hovyo, mchezo wa taratibu, na back pass nyingi zisizo na maana.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Wydad Casablanca ambayo inatarajiwa kumenyana na Mamelodi Sundowns katika hatua ya semi final ya ligi ya mabingwa afrika imemfukuza kazi kocha wake mhispania Juan Carlos.

Kazi ya ukocha amepewa Sven, kocha wa zamani wa Simba.

Sababu za kumfukuza kazi kwa mujibu wa vyombo vya habari vya kimataifa ni madai ya uongozi kuwa they are not convinced with the performance hasa hasa wanaamini Wydad sio timu ya kupata ushindi kwa taaaaabu dhidi ya Simba kwenye mechi zote 2.

Wanadai Wydad ilikuwa ya kuipiga Simba nje na ndani tena kwa mabao mengi tu.

Uongozi umedai kama Raja aliweza kumpiga nje ndani iweje wao wapate taabu.

Wameona kocha huyo atawapigisha shoti na Mamelod, hivyo wamemalizana naye mapema t
Tupe source ya Habari hii
 
Makolo wanadharaulika Sana , sema wao wanajiona walikufa kiume kumbe hata Wydad wenyewe wanajijua ni Tia maji Tia maji
 
Wydad Casablanca ambayo inatarajiwa kumenyana na Mamelodi Sundowns katika hatua ya semi final ya ligi ya mabingwa afrika imemfukuza kazi kocha wake mhispania Juan Carlos.

Kazi ya ukocha amepewa Sven, kocha wa zamani wa Simba.

Sababu za kumfukuza kazi kwa mujibu wa vyombo vya habari vya kimataifa ni madai ya uongozi kuwa they are not convinced with the performance hasa hasa wanaamini Wydad sio timu ya kupata ushindi kwa taaaaabu dhidi ya Simba kwenye mechi zote 2.

Wanadai Wydad ilikuwa ya kuipiga Simba nje na ndani tena kwa mabao mengi tu.

Uongozi umedai kama Raja aliweza kumpiga nje ndani iweje wao wapate taabu.

Wameona kocha huyo atawapigisha shoti na Mamelod, hivyo wamemalizana naye mapema t
Waydad hawezi kumtoa mamelod hata simba wametutoa kwa kukosa beki ya kati katili.
 
Wydad Casablanca ambayo inatarajiwa kumenyana na Mamelodi Sundowns katika hatua ya semi final ya ligi ya mabingwa afrika imemfukuza kazi kocha wake mhispania Juan Carlos.

Kazi ya ukocha amepewa Sven, kocha wa zamani wa Simba.

Sababu za kumfukuza kazi kwa mujibu wa vyombo vya habari vya kimataifa ni madai ya uongozi kuwa they are not convinced with the performance hasa hasa wanaamini Wydad sio timu ya kupata ushindi kwa taaaaabu dhidi ya Simba kwenye mechi zote 2.

Wanadai Wydad ilikuwa ya kuipiga Simba nje na ndani tena kwa mabao mengi tu.

Uongozi umedai kama Raja aliweza kumpiga nje ndani iweje wao wapate taabu.

Wameona kocha huyo atawapigisha shoti na Mamelod, hivyo wamemalizana naye mapema t
Hongera Simba, mnyama anayetisha mwituni, kwa mafanikio haya makubwa ya kumfukuzisha kocha wa Wydad.🤣🤣🤣🤣
 
Wydad Casablanca ambayo inatarajiwa kumenyana na Mamelodi Sundowns katika hatua ya semi final ya ligi ya mabingwa afrika imemfukuza kazi kocha wake mhispania Juan Carlos.

Kazi ya ukocha amepewa Sven, kocha wa zamani wa Simba.

Sababu za kumfukuza kazi kwa mujibu wa vyombo vya habari vya kimataifa ni madai ya uongozi kuwa they are not convinced with the performance hasa hasa wanaamini Wydad sio timu ya kupata ushindi kwa taaaaabu dhidi ya Simba kwenye mechi zote 2.

Wanadai Wydad ilikuwa ya kuipiga Simba nje na ndani tena kwa mabao mengi tu.

Uongozi umedai kama Raja aliweza kumpiga nje ndani iweje wao wapate taabu.

Wameona kocha huyo atawapigisha shoti na Mamelod, hivyo wamemalizana naye mapema t
Kuna maneno umejitungia.Sema suuu!
 
Viongozi wameshasoma ramani kuwa huyo kocha hatoweza kuwatoa Mamelod. Na wameangalia trend ya matokeo ya nyumbani. Vs As vita wameshinda kwa mbinde home, vs Petro Luanda na kisha dhidi ya Simba
 
Back
Top Bottom