Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Wydad Casablanca ambayo inatarajiwa kumenyana na Mamelodi Sundowns katika hatua ya semi final ya ligi ya mabingwa afrika imemfukuza kazi kocha wake mhispania Juan Carlos.
Kazi ya ukocha amepewa Sven, kocha wa zamani wa Simba.
Sababu za kumfukuza kazi kwa mujibu wa vyombo vya habari vya kimataifa ni madai ya uongozi kuwa they are not convinced with the performance hasa hasa wanaamini Wydad sio timu ya kupata ushindi kwa taaaaabu dhidi ya Simba kwenye mechi zote 2.
Wanadai Wydad ilikuwa ya kuipiga Simba nje na ndani tena kwa mabao mengi tu.
Uongozi umedai kama Raja aliweza kumpiga nje ndani iweje wao wapate taabu.
Wameona kocha huyo atawapigisha shoti na Mamelod, hivyo wamemalizana naye mapema t