Simba yamsajili kiungo Babacar Sarr

Simba yamsajili kiungo Babacar Sarr

Ukimfananisha na Sawadogo haumtendei haki. Mbona katokea Saudi Pro league? Unadhani kwenda kule ni jambo dogo?

Pia kabla ya hapo alikuwa Monasir. Ni kuingo mkabaji lakini yuko vyema kwenye shootings…
Aise kumbe mwamba anajua maana huwez kwenda said pro league kama hauna uwezo, angalau naanza kuwa na aman pale katikati,lakin vp unazan nan anaweza kuachwa ili kuwapa nafas maingzo mapya?
 
Anabaka mashabiki na groupies
Wala hakuna jipya hapo. Hujui wachezaji wa Man city na Man U mastaa wakubwa walikumbwa na hayo hayo huko ulaya?

Pisi hata mkienda nayo ghetto ikifikia mahali ikisema “no”, we ukaendelea kupiga mzigo inachukuliwa umebaka?

Na wakati kwa waafrika aksema sitaki ndo kwanza mzuka unapanda.

Fuatilia kama hujui ujuwe.
 
Ivi ile ya sawadogo kufananishwa na mafisago iliishia wapi🤔🤔
 
Back
Top Bottom