Simba yamsajili Salehe Karabaka kutoka Zanzibar

Vision yetu kwenye mpira ipo mbali hatufanyi vitu kwa kukurupuka, tushafanya makosa tumejua wapi tulikosea now we keep looking forward.

Simba unayoibeza ndio iliyochukua kombe mikononi mwako ukiwa na hao hao wachezaji wako ambao uko proud nao.

They didn't do nothing to stop us from lifting a community shield

Wakati sisi tunaweka ambitions za kufika fainali Club Bingwa nyinyi mlikuwa mnakesha kuomba ni kwa namna gani mfike group stage
 

Utopolo semeni GIFT FRED mlimsajili kwa Mbwembwe toka Uganda leo mmempa kudeki vyoo AVIC kigamboni
 
Chilunda anakaa benchi dogo hajasoma mchezo anaenda kupotea kama kina kapama.
 
Karabaka mechi yake ya kwanza katupia goli moja
 
Fainali klabu bingwa? Ambitions?!
 
Ataozea benchi kama DE JANG alicheza dakika 72 tu ktk mechi 5 tangu asajiliwe uvumilivu ukamshinda akanyanyua mabegi tokea hapo hapo zenji msimu kama huu akasepa, pale simba vijana hua hawapangwi
Dejan umemfuatilia tangu atoke Simba huko kwao keshacheza mechi ngapi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…