Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vision yetu kwenye mpira ipo mbali hatufanyi vitu kwa kukurupuka, tushafanya makosa tumejua wapi tulikosea now we keep looking forward.Hizi ndio vitu vinawapa furaha na ushindi makolo miaka 2 hii. Hii itawavusha tena for another 3 months kisha mtatupiwa lingine mnalibeba mnashangiliaaaaaaa baada ya another 3 months uchaguzi umefika analetwa Manzoki anabadili upepo mnashangilia weeeeeeeee
Safi lakini, muhimu huwa ni furaha. Haijalishi furaha umeipata kwa kubeba kombe au kumfunga mtani goli 5 au kuletwa Robertino au kuletwa Manzoki kwenye kampeni za uchaguzi badala ya kusajiliwa
Kwani jana hukupata bahati ya kuwaangalia wakati wanawaadhibu Jamhuri kile kichapo chetu ya ✋?Nkane na Ngushi wako wapi?
Kama ilivyokuwa kwa Onana kisha akaja kuwa anatukanwa na Makolo..Karabaka mechi yake ya kwanza katupia goli moja
Fainali klabu bingwa? Ambitions?!Vision yetu kwenye mpira ipo mbali hatufanyi vitu kwa kukurupuka, tushafanya makosa tumejua wapi tulikosea now we keep looking forward.
Simba unayoibeza ndio iliyochukua kombe mikononi mwako ukiwa na hao hao wachezaji wako ambao uko proud nao.
They didn't do nothing to stop us from lifting a community shield
Wakati sisi tunaweka ambitions za kufika fainali Club Bingwa nyinyi mlikuwa mnakesha kuomba ni kwa namna gani mfike group stage
Dejan umemfuatilia tangu atoke Simba huko kwao keshacheza mechi ngapi???Ataozea benchi kama DE JANG alicheza dakika 72 tu ktk mechi 5 tangu asajiliwe uvumilivu ukamshinda akanyanyua mabegi tokea hapo hapo zenji msimu kama huu akasepa, pale simba vijana hua hawapangwi
Kwanini unaombea iwe hivo ?Kama ilivyokuwa kwa Onana kisha akaja kuwa anatukanwa na Makolo..
NdioFainali klabu bingwa? Ambitions?!
Huo muda mchafu ninaupata wapi mimi!!Nafikiri jana umemuona MO na KARABAKA