Tetesi: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Habari nilizopata hivi punde. Klabu ya Simba imeanzisha mazungumzo rasmi na Azam FC ili kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Feisal Salum Fei Toto.

Japo kuvunja mkataba wa Fei pale Azam kuna vipengele vigumu lakini hakuna linaloshindikana. Na deal ikikamilika Fei atakuwa ndio mchezaji anaelipwa zaidi Tanzania.
 
Fei toto siyo mchezaji tishio kashindwa kujisaidia hata taifa stars.pale azam alidupiwa tu na simba ili kutuliza mawimbi lkn lengo lake lilikuwa kwenda kwa wekundu
 
Kutoka Champions League mpaka shirikisho? SIDHANI
Umesau Alitoka timu ilioykua inashiriki shirikisho kwa kiungaunga mpaka fainal nakwenda Azam iliyokua inashiriki NBC premier league,
 
Kisa kuwarudi Yanga kwa kumsajili Clotus, huu ujinga ni Tz pekee

Na wakolo walivyo mbayuwayu watashangilia balaa!!

Naona wanajiuliza hata kwenda kukopa wakakope ili mradi kujaribu ku level score board na Yanga, hiyo pesa bora wangeenda duniani huko wangepata kiungo mzuri sana wa kuanza nae
 
Yaani huyo mchezaji atakuwa ana maji kichwani aiachie fursa ya kwenda kuonekana duniani kwenye champion African league aende kucheza shirikisho, (Best losers)
wana uwezo wa kuingia makundi?
 
Panicking mode
Hakuna cha panik mzee, una hela? Au unalialia umaskini wako.tu hapa,, hela ndio inaongea kwenye mpira..ligi imekua hii, na wachezaji wanataka pesa pesapesa..timu zinweka pesa mezani ..
 
Fei toto siyo mchezaji tishio kashindwa kujisaidia hata taifa stars.pale azam alidupiwa tu na simba ili kutuliza mawimbi lkn lengo lake lilikuwa kwenda kwa wekundu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…