Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
Amakweli shabiki andazi kapuku.Yaani huyo mchezaji atakuwa ana maji kichwani aiachie fursa ya kwenda kuonekana duniani kwenye champion African league aende kucheza shirikisho, (Best losers)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amakweli shabiki andazi kapuku.Yaani huyo mchezaji atakuwa ana maji kichwani aiachie fursa ya kwenda kuonekana duniani kwenye champion African league aende kucheza shirikisho, (Best losers)
Mbona nyie makapuku mmeshangilia ujio wa chama hadi mmeenda kuprint makaratasi na kwenda kuzunguka navyo mjini mnaonesha picha ya chama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kisa kuwarudi Yanga kwa kumsajili Clotus, huu ujinga ni Tz pekee
Na wakolo walivyo mbayuwayu watashangilia balaa!!
Naona wanajiuliza hata kwenda kukopa wakakope ili mradi kujaribu ku level score board na Yanga, hiyo pesa bora wangeenda duniani huko wangepata kiungo mzuri sana wa kuanza nae
Siko kwenye kundi la wajinga kiasi hichoMbona nyie makapuku mmeshangilia ujio wa chama hadi mmeenda kuprint makaratasi na kwenda kuzunguka navyo mjini mnaonesha picha ya chama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha..ukisikia kuna mchezaji simba wamesajiri toka Uganda nitafute tunywe biaAcheni wenye hela wapigane vikumbo,, nyinyi mashabiki makapuku mbaki mkiongea porojo tu [emoji23][emoji23][emoji23] ..
Kweli wewe kichwa maji huyo Chama mmemtoa mbinguni? Hajatoka Simba? Vipi mlivyo kuwa mnamsema vibaya na kumuita eti konokono. Kaitumikia Simba tangu akiwa age ya 25 Sasa hivi 33 kunanini jipya? Fei na Chama nani mzee? Mbona wakati Fei anaondoka Utopolo mlikuwa mna Lilia. Nyie manyani tulizeni mshono angalieni Utopolo yenu.Kisa kuwarudi Yanga kwa kumsajili Clotus, huu ujinga ni Tz pekee
Na wakolo walivyo mbayuwayu watashangilia balaa!!
Naona wanajiuliza hata kwenda kukopa wakakope ili mradi kujaribu ku level score board na Yanga, hiyo pesa bora wangeenda duniani huko wangepata kiungo mzuri sana wa kuanza nae
simba inamhitaji fei kuliko yanga walivyokua wanamhitaji chama yanga kwa sasa wana wat wanaoweza kucheza role number ten watatu pacome,cha na aziz,hata max pia amaweza cheza hio namba bado kuna tetesi za sowo na rasta wa kmc,..simba inahitaji best play maker wa kiwango hiko angalau baada ya chama kuondoka,simba inamhitaji mno fei kwa sasa.Kisa kuwarudi Yanga kwa kumsajili Clotus, huu ujinga ni Tz pekee
Na wakolo walivyo mbayuwayu watashangilia balaa!!
Naona wanajiuliza hata kwenda kukopa wakakope ili mradi kujaribu ku level score board na Yanga, hiyo pesa bora wangeenda duniani huko wangepata kiungo mzuri sana wa kuanza nae
Mbona nyie makapuku mmeshangilia ujio wa chama hadi mmeenda kuprint makaratasi na kwenda kuzunguka navyo mjini mnaonesha picha ya chama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema viongozi wa Simba wako vizuri kuyaseti haya mabogus yao[emoji28][emoji28], njia pekee yakutuliza hekahek ma hizi nikuzusha story mfu. Heko Mangungu...
Kipindi anatoka yanga kwenda azam alikuwa anatoka champions league kwenda wapi??Yaani huyo mchezaji atakuwa ana maji kichwani aiachie fursa ya kwenda kuonekana duniani kwenye champion African league aende kucheza shirikisho, (Best losers)
Mbona Fei huyo huyo aliondoka Yanga ikiwa inaenda kushiriki champions league na akaenda azam ambao hawakuwa champions league kipi kitakuwa kitu cha ajabu kwa Fei?Kutoka Champions League mpaka shirikisho? SIDHANI
Fei atacheza Simba, mazungumzo yamefika pazuri sana.Sema viongozi wa Simba wako vizuri kuyaseti haya mabogus yao😅😅, njia pekee yakutuliza hekahek ma hizi nikuzusha story mfu. Heko Mangungu...
HajitambuiMbona Fei huyo huyo aliondoka Yanga ikiwa inaenda kushiriki champions league na akaenda azam ambao hawakuwa champions league kipi kitakuwa kitu cha ajabu kwa Fei?
Nadhani nilikuambia na kukuahidi ukiona Mchezaji toka Uganda anasajiliwa tuonane,Mukwala huyoooo tayari , bado mmoja toka DRCAcheni wenye hela wapigane vikumbo,, nyinyi mashabiki makapuku mbaki mkiongea porojo tu [emoji23][emoji23][emoji23] ..