Rage alikuwa anajua mambo ya soka,Aveva hajui chochote kuhusu soka ndio maana wanampeleka wanavyotaka
sio tu kwa uongozi huu..ila kwa mfumo huu wa uendeshaji wa klabu ya simba haitofika popoteKwa uongozi huu Simba haitofanya lolote ....wanatia hasira sana ...
Kama jicho linawasha sema ukunwe, kiherehere kama mke wa Balozi wa Uswahilini!Kama kawaida ya mambumbumbu
Coach katolewa kafara,Coach ametuaga huko Twitter.
=====================
Umetoka. Wapi Aveva?Nimeshasema kashtakini tena kamaenu.
Nani ametaja mbumbumbu?Umetoka. Wapi Aveva?
Unafanya kosa kubwa sana kunihusisha mimi na hao jamaa zako wa mafuriko.
Nitake radhi