Simba Yamtimua kocha mkuu, Dylan Kerr na kocha wake wa makipa Iddi Salim

Simba Yamtimua kocha mkuu, Dylan Kerr na kocha wake wa makipa Iddi Salim

Rage alikuwa anajua mambo ya soka,Aveva hajui chochote kuhusu soka ndio maana wanampeleka wanavyotaka

wale hawako pale kwa ajili ya Mpira wako kwa ajili ya maslahi binafsi
 
Kwa uongozi huu Simba haitofanya lolote ....wanatia hasira sana ...
 
Kama kawaida ya mambumbumbu
Coach katolewa kafara,Coach ametuaga huko Twitter.

=====================
Kama jicho linawasha sema ukunwe, kiherehere kama mke wa Balozi wa Uswahilini!
Nyinyi misukule ya Manji mlioajiriwa kufuga vyura na kambale tindigani jangwani mlipomfukuza Niyonzima kwa mbwembwe kwenye media ulileta uzi humu? Au uliona shabiki gani wa Msimbazi alikurupuka kuleta uzi pumba kama wako kujadili kitu kisichokihusu?? Mbona nyinyi kabla ya Pluijim mliwahi kufukuza kocha na timu ikiwa inaongoza ligi kisa kufungwa mechi moja tu, acha nyege wewe ya wanaume waachie wanaume wenyewe, wewe kakune nazi.
 
Back
Top Bottom