Simba yamtupia virago KOPUNOVIC,yamleta mbelgiji PIET DE MOL!!!


Mkuu, baadhi ya wachezaji kulipwa pesa nyingi kuliko makocha wao ni kawaida. Ni kocha gani analipwa hela za akina Yaya Toure, Wayne Rooney, Ronaldo, Messi nk ?

Pale Simba bado kuna tatizo la msingi - kuinguilia kazi ya kocha. Pamoja na kwamba mimi ni Yanga, sisemi kiushabiki lakini naamni angalau viongozi wa Yanga wamejifunza na kuacha tabia ya kuingilia kazi za kiufundi na matunda tunayaona.

Ndiyo maana Kopunovic kaona bora achukue pesa kubwa ili wakiingilia kazi yake atimue lakini pesa kachukua.
 
simba na Yanga mifumo ya wote ni ile ile tu

Timu hazina pesa

Ni ombaomba kwa matajiri wachache kama kina Manji


Unasema simba na Yanga zina mfumo sawa... Labda nikuulize.. Hivi simba wamefukuza Makocha wangapi kwa kipindi cha msimu 2..?

"Timu hazina pesa"
Ahh umeshawahi kusikia Yanga Fc imefika hatua ya Kutangaza mbele ya vyombo vya habari kwamba IMEFILISIKA...?
 

Mkuu labda hatuelewani maana ye neno "Mfumo"

Suala la kufukuza makocha sio suala la kimfumo ila ni "Events"

Ukiongelea Mfumo unaongelea ishu kama za Governance,Organizational structure,Reporting structures,Funding structures.

Hata kama Yanga haijawahi kutangaza.....hio haiondoi bottom line kwamba Yanga kama timu na simba kama timu Mifumo yake haiko sawa.

Jibu ni rahisi Yanga haijatangaza njaa ni kwa sababu Tajiri Manji anajitoa kulipia gharama za timu.

Tajiri manji hana legal Obligation za kuipa Yanga hela,anajitoa kwa sababu ya mapenzi yake kwa timu

Mfumo ninaouongelea hapa ni timu kujisimamia....kwamba hata kama manji hayupo au Hanspope hayupo..Akaunti za timu ziendelee kuwa na Pesa
 
Timu hazina pesa

Ni ombaomba kwa matajiri wachache kama kina Manji


Hadhi ya Yanga Fc kifedha haijachangiwa na Manji.!

Vipi kipindi kile ambacho Manji hakuwa karibu na Yanga...?
[\B]
 

Miaka mitano yote hiyo?

Nakutajia wa juzi juzi
Milovan, Lieweg,yule wa Gor Mahia, Kibaden,phiri, kopunovic.

Wrote juz juz tu hao
 

You have a point Mtani...Nimekuelewa
 
Miaka mitano yote hiyo?

Nakutajia wa juzi juzi
Milovan, Lieweg,yule wa Gor Mahia, Kibaden,phiri, kopunovic.

Wrote juz juz tu hao

Ni kweli hili ni tatizo
 

Hadhi ya Yanga Fc kifedha haijachangiwa na Manji.!

Vipi kipindi kile ambacho Manji hakuwa karibu na Yanga...?
[\B]


Mkuu...Kuna kipindi Yanga ilienda kuweka Kambi Moshi ikashindwa kulipia hoteli wakawa wanadaiwa hadi kushikiliwa gari lao

Labda uwe mgeni wa soka la simba na Yanga

Hizi timu hua migogoro inahama toka upande mmoja kwenda mwingine

Kabla ya Manji ...Yanga kuna wakati ilikua inalia njaa

[h=2]Jumatano, 28 Desemba 2011[/h] [h=3]WACHEZAJI YANGA NJAA KALI, PESA HAKUNA.[/h]
[h=3]Wachezaji Yanga walia njaa[/h]



Timu ya Yanga​
Ikiwa inakabiliwa na ushindani mkali katika kampeni yake ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara na pia mashindano ya Klabu Bingwa Afrika, programu za mazoezi ya Yanga inashindwa kutekelezeka kikamilifu kutokana na wachezaji wake kutopata mishahara yao ya miezi miwili.Mishahara hiyo ambayo wachezaji wanadai ni ya mwezi Novemba na Desemba, ambao umeambatana na sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya.
Kwa mujibu wa habari ambazo gazeti hili imezipata ni kwamba mbali na wachezaji hao, pia wafanyakazi wengine walioajiriwa na klabu hiyo hawajalipwa kwa muda wa miezi mitatu sasa.
Chanzo hicho kiliongeza kuwa hali hiyo ya ukata imechangia mambo mengi kutofanyika kama ilivyotarajiwa ikiwemo kuvurugika kwa programu ya mazoezi.
"Hali ni mbaya, klabu haina pesa, mambo mengi hayafanyiki kama ilivyokusudiwa, tunajaribu kufanya kila linalowezekana ili kutatua tatizo hili linalotukabili," alisema mmoja wa viongozi wa Yanga ambaye hakutaka jina lake litajwe.
Aliongeza kuwa kukosekana kwa fedha kutoka kwa aliyekuwa mfadhili wao na mapato madogo ya mlangoni yaliyokuwa yakipatikana katika mechi za mzunguko wa kwanza wa ligi ndio sababu nyingine iliyofanya klabu yao ikose fedha za kujiendesha.
 
hazina pesa

Ni ombaomba kwa matajiri wachache kama kina Manji



Hadhi ya Yanga Fc kifedha haijachangiwa na Manji.!

Vipi kipindi kile ambacho Manji hakuwa karibu na Yanga...?
 
Miaka mitano yote hiyo?

Nakutajia wa juzi juzi
Milovan, Lieweg,yule wa Gor Mahia, Kibaden,phiri, kopunovic.

Wrote juz juz tu hao
Nadhani atakuwa Logarusic ndie alitoka Gor Mahia akaja kuifundisha simba, nadhani alitimuliwa baada ya simba kulambwa goli 3-0 na Zesco ya Zambia kwenye game ya simba day.....
 



Mkuu! Naona umeniletea source ya maelezo ambayo inatokana na mawazo binafsi ya mtu...!

Msemaji gani wa Club ambaye anatoa maelezo kwenye chombo cha habari chenye Hadhi na kusema kwamba asitajwe jina...?

Je wewe unaamini hicho chanzo.?

Unafikiri club ingepoteza nini kwa kuviambia vyombo vya habari ukweli halisi...?

Hakuna kitu kama hiko.....
 
Binafsi huwa najiuliza hawa akina Hans pope..na wenzake...au Manji...kwann wasitumie makampuni yao kudhamini hizo timu..na si kufadhili?

Maana ukitazama gharama wanazoingia kuziendesha wakati hata hawajitangazi kibiahara kupitia vilabu hivyo nashindwa kuelewa..

Huwa na hamu sana kuona hawa wafadhili wanakua wadhamini kupitia kampuni zao..
 

sawa mkuu for the Interst of "Kubisha"
 

mkuu hapo kuna usanii mkubwa unafanyika.

Ni kwamba kian Hanspope hela wanazotoa ...let's say hans anasema nimemsajili Okwi kwa milioni 100......lakini Bottom line Okwi amekubaliana nae mil 50

Hio mil 50 ya ziada inasainiwa kwenye mkataba wa mchezaji.

Later on Fedha za wadhamini kina Vodacom na Kilimanjaro zikija au fedha za mapato ya milangoni Hans anaenda kudai pesa yake kwamba amemsajili Okwi kwa mil 100.....na hapo anakuwa amepiga mil 50 za kwake.

Ninajipanga tu na wenzangu...Tutachukua Uongozi wa klabu hii na kuiendesha kisomi...tutaibadili
 

Nimekupata..kumbe ndio maana hawataki kampuni zao ziwe wadhamini
 
Kwa hili nawaunga mkono viongozi, pale hatukuwa na kocha.
 

Hapo kaka licha ya kutofautiana nawe kiitikadi nmekukubali! Katika vitu ambavyo sivipendi ni kumpangia kocha timu. hii tabia wanayo Hans Poppe na Kaburu. Hawa sijui kwa nn hawajifunzi professionalism including division of labour
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…