Simba yamuuza Clatous Chama nchini Morocco

Itapendeza sana siku ya Simba day iwapo itacheza mechi ya kirafiki na timu aliyohamia Chama au Luis (Rs Berkane / Al Ahly).

Pia iitumie siku hiyo kumuaga Chama na Luis. Wameondoka vizuri wakiwa wameacha alama ya mafanikio.
 
Unaonaje replacement iliyofanyika?
Mimi binafsi wachezaji waliosajiliwa sijawahi kuwaona wakicheza lakini ni matumaini yangu kuwa Simba wamefanya scouting vizuri na kuweza kujiridhisha kuwekeza kiasi hicho chote cha pesa.

Ipo wazi kuwa Simba misimu hii miwili mitatu iliyopita wamefanya sajili zenye tija sana ndani na uwanja na nje (kibiashara) pia.

Wachezaji kama Chama, Miquissone, Bwalya, Lwanga, Mugalu, Morison ni mfano wa namna Simba wameweza kutulia na kufanya sajili zenye kuleta tija katika club kwa kuleta matokeo chanya uwanjani na potential katima bishara (kuuza kwa faida kubwa).

Natumaini sajili hizi pia zitakuwa na tija kwa Simba.
 
Angaikeni na zipompa pompa wenu. Where do you get guts to tell us how to manage team wakati you hv failed so many times.... 30 plus more players in 3 seasons... mkiaminisha watu kila mara u got new best ones wabebwe... then outcome zero
I won't waste my energy arguing with you my brother. You have to be objective here. Yanga kwani imesajili wachezaji wangapi within that same period of time?

Je Yanga wamepata ROI ambayo walitegemea (au kwanza niulize ni business model gani mnatumia?) Maana unaweza kukuta mnasajili tu ilimradi mmesajili. Hamna plans, you don't focus on the potential/prospects of your investments.

Simba ipo wazi, ubingwa mara 4 mfululizo, kufanya viziri CAF Champions League, kuuza wachezaji kwa bei nzuri. So it is clear kuwa Simba inapata faida. Sijui nyie wenzetu.
 
are you objectively responding to me, by asking me such questions ?
You must be kidding... !

My point was simple, go back use those best models, get max ROI then share the results.

Sio porojo tuuu za hii haifai, sijui hatujui planning wala hatuna models LAKINI huna cha kuonyesha ulichofanya.

Mimi I can, kama ulivyotaja just a few, na more to come.

Wether tunatumia models za magodoro au za kuuzia dengu for now sio big deal.

On the long run tuta adjust so as to fit in na hizo jargons that kwako ni big deal.

Otherwise we are the pioneers wa hii kitu EA na that record won't change.
 
I rest my case brother kama ulichoona kikubwa ni kuwa nimeona hizo jargons ni big deal.

By the way, you've committed a logical fallacy ; ad hominem.
 
Kati yako na Kitenge nani anastahili kuadhibiwa iwe fundisho?
 
Timu ni ya kanjibai nyie hamna lolote
 
Yanga ilitoa hesabu zake hadharani na inaonekana wanapata faida ingawa siyo kubwa kivile, Mwamedi anasema Simba inajiendesha kwa hasara.
 
Aibu tupu huko uliko na ban yako

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
[emoji19][emoji19]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Kuna msimu alisajili wachezaji 11 dirisha la january wakawatema wote wakasajili upya.

Msimu uliopita wamefanya hivyo hivyo tena wametema wachezaji watano mpaka sasa wa kigeni tu.

Ila Faraja yao wanatafuta kwa Simba kumuuza Chama sometimes inabidi tuwaelewe na tuwahurumie wana misimu minne hawajabeba ubingwa wa ligi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…