Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi binafsi wachezaji waliosajiliwa sijawahi kuwaona wakicheza lakini ni matumaini yangu kuwa Simba wamefanya scouting vizuri na kuweza kujiridhisha kuwekeza kiasi hicho chote cha pesa.Unaonaje replacement iliyofanyika?
I won't waste my energy arguing with you my brother. You have to be objective here. Yanga kwani imesajili wachezaji wangapi within that same period of time?Angaikeni na zipompa pompa wenu. Where do you get guts to tell us how to manage team wakati you hv failed so many times.... 30 plus more players in 3 seasons... mkiaminisha watu kila mara u got new best ones wabebwe... then outcome zero
are you objectively responding to me, by asking me such questions ?I won't waste my energy arguing with you my brother. You have to be objective here. Yanga kwani imesajili wachezaji wangapi within that same period of time?
Je Yanga wamepata ROI ambayo walitegemea (au kwanza niulize ni business model gani mnatumia?) Maana unaweza kukuta mnasajili tu ilimradi mmesajili. Hamna plans, you don't focus on the potential/prospects of your investments.
Simba ipo wazi, ubingwa mara 4 mfululizo, kufanya viziri CAF Champions League, kuuza wachezaji kwa bei nzuri. So it is clear kuwa Simba inapata faida. Sijui nyie wenzetu.
I rest my case brother kama ulichoona kikubwa ni kuwa nimeona hizo jargons ni big deal.are you objectively responding to me, by asking me such questions ?
You must be kidding... !
My point was simple, go back use those best models, get max ROI then share the results.
Sio porojo tuuu za hii haifai, sijui hatujui planning wala hatuna models LAKINI huna cha kuonyesha ulichofanya.
Mimi I can, kama ulivyotaja just a few, na more to come.
Wether tunatumia models za magodoro au za kuuzia dengu for now sio big deal.
On the long run tuta adjust so as to fit in na hizo jargons that kwako ni big deal.
Otherwise we are the pioneers wa hii kitu EA na that record won't change.
Kati yako na Kitenge nani anastahili kuadhibiwa iwe fundisho?Katika watu wenye matatizo na kutunga taarifa za kuzusha mitandaoni ndio huyu namba moja naona sijui tcra wanashindwa nini kuanza nae ili liwe fundisho kwa washirika wenzie wenye mtindio wa ubongo
Binafsi naona kitenge sidhan km alisoma na anacheti naafiki ile kila mwandishi awe na diploma kwenda juu
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Timu ni ya kanjibai nyie hamna loloteMbona huyu huyu Maulid Kitenge ( Mtangazaji Mnafiki, Mswahili, Mpenda Majungu na anayeichukia Simba SC ) hakutupa 'Tetesi' za Yeye kuhama kutokea Wasafi Media na Kurejea EFM na TvE?
Na kuhusu Mchezaji Clatous Chota Chama kutakiwa huko nchini Morocco na Klabu ya FAR Rabat anayofundisha aliyekuwa Kocha wa Simba SC Sven Vandebroek hizo Tetesi hazijaanza leo na nashangaa Mtu kama Maulid Kitenge amechelewa Kuzipata.
Sidhani kama 'Simba SC' itamuuza CCC.
Yanga ilitoa hesabu zake hadharani na inaonekana wanapata faida ingawa siyo kubwa kivile, Mwamedi anasema Simba inajiendesha kwa hasara.I won't waste my energy arguing with you my brother. You have to be objective here. Yanga kwani imesajili wachezaji wangapi within that same period of time?
Je Yanga wamepata ROI ambayo walitegemea (au kwanza niulize ni business model gani mnatumia?) Maana unaweza kukuta mnasajili tu ilimradi mmesajili. Hamna plans, you don't focus on the potential/prospects of your investments.
Simba ipo wazi, ubingwa mara 4 mfululizo, kufanya viziri CAF Champions League, kuuza wachezaji kwa bei nzuri. So it is clear kuwa Simba inapata faida. Sijui nyie wenzetu.
Aibu tupu huko uliko na ban yakoMbona huyu huyu Maulid Kitenge ( Mtangazaji Mnafiki, Mswahili, Mpenda Majungu na anayeichukia Simba SC ) hakutupa 'Tetesi' za Yeye kuhama kutokea Wasafi Media na Kurejea EFM na TvE?
Na kuhusu Mchezaji Clatous Chota Chama kutakiwa huko nchini Morocco na Klabu ya FAR Rabat anayofundisha aliyekuwa Kocha wa Simba SC Sven Vandebroek hizo Tetesi hazijaanza leo na nashangaa Mtu kama Maulid Kitenge amechelewa Kuzipata.
Sidhani kama 'Simba SC' itamuuza CCC.
[emoji19][emoji19]Katika watu wenye matatizo na kutunga taarifa za kuzusha mitandaoni ndio huyu namba moja naona sijui tcra wanashindwa nini kuanza nae ili liwe fundisho kwa washirika wenzie wenye mtindio wa ubongo
Binafsi naona kitenge sidhan km alisoma na anacheti naafiki ile kila mwandishi awe na diploma kwenda juu
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Kuna msimu alisajili wachezaji 11 dirisha la january wakawatema wote wakasajili upya.I won't waste my energy arguing with you my brother. You have to be objective here. Yanga kwani imesajili wachezaji wangapi within that same period of time?
Je Yanga wamepata ROI ambayo walitegemea (au kwanza niulize ni business model gani mnatumia?) Maana unaweza kukuta mnasajili tu ilimradi mmesajili. Hamna plans, you don't focus on the potential/prospects of your investments.
Simba ipo wazi, ubingwa mara 4 mfululizo, kufanya viziri CAF Champions League, kuuza wachezaji kwa bei nzuri. So it is clear kuwa Simba inapata faida. Sijui nyie wenzetu.
Ndio raha ya kuwekeza hiyo, hivi bila Mo kuwekeza hao wakina chama na luis wangefika simba?Gabacholi amechukua mzigo wote na faida