watu wenyewe hamueleweki mara mseme mechi leo mara mechi kesho njaa tu na dhiki ndizo zinawasumbueni yanga. mnatafuta hela leo kijanja za kuwamalizia " magovinda " wenu wawili " ngoma " na " zuta ". si mseme tu simba tuwakopesheni hela kwani tumepata hela nyingi sana baada ya kumuuza " super okwinyo " juzi huko nchini denmark na tuna kitu kama bilioni 3 hivi!
simba ndiyo mpango mzima na nawashangaa sana " malofa " fulani tena kupitia kwa " mpashkuna " wao kuwa timu yao ni ya kimataifa zaidi wakati hata ktk ile rekodi iliyotolewa hivi majuzi tu ya vilabu bora duniani na afrika klabu yao haipo huku simba sports club na wazee wa lamba lamba wakichomoza lakini kama hiyo haitoshi hivi utajiitaje " mzee wa kimataifa " wakati huna na hujawahi kuuza mchezaji hata mmoja nje ya nchi achilia mbali huko " ukimataifani " unakokusema? najua kimbilio lao hapa watajitetea kuwa wamemuuza nonda shabani wakati ukweli ni kwamba nonda shabani papii alimaliza mkataba wake yanga na kurudi kwao kisha akaanza mchakato wake binafsi wa kwenda kucheza soka nchi za nje na ndipo akaanzia klabu ya vaal professionals ya afrika ya kusini na najua kuna wengine watasema kuwa yanga imemuuza ngasa klabu ya bidvest ya africa ya kusini lakini kwangu mimi africa kusini ni kama " tandale " tu ila simba tuna rekodi kadhaa ya kuwauza wachezaji ulaya kuanzaia " machupa " nchini denmark, haruna moshi " boban " sweden na sasa " super okwinyo " tena nchini denmark na kuna tetesi xavi hernandez kiungo mahiri kabisa na mstaafu wa fc barcelona amependekeza kwa kocha wao mkuu kuwa waje tanzania kufanya mazungumzo na simba ili wamchukue fundi na mtaalam " said khamis ndemla " huku fc bayern munich nayo ikimtaka kwa udi na uvumba beki ya kushoto " fundi " ya simba mohamed hussein tshabalala na real madrid nao wako ktk mazungumzo ya mwisho na simba ili wamchukue nahodha hassan isihaka ili akakipige ktk timu yao ya " b " na baada ya hapo aje pengine kuwa mbadala wa beki " sergio ramos ". sasa kwa maelezo haya tu mafupi kati ya " mnyama " simba sports club na hao " washamba wa kimataifa " nani anastahili kweli kuitwa wa " kimataifa "?. simba mwaka huu tutauza wachezaji balaa huko " ulaya ".

Unaonekana hata soka hulijui unaandika mambo mengi ambayo ungeweza kuyathibitisha kwa mstari mmoja tu! Da! Mbumbumbu fc! Mpaka mashabiki mnayo kazi!
Kuna tetesi xavi hernandez kiungo mahiri kabisa na mstaafu wa fc barcelona amependekeza kwa kocha wao mkuu kuwa waje tanzania kufanya mazungumzo na simba ili wamchukue fundi na mtaalam " said khamis ndemla " huku fc bayern munich nayo ikimtaka kwa udi na uvumba beki ya kushoto " fundi " ya simba mohamed hussein tshabalala na real madrid nao wako ktk mazungumzo ya mwisho na simba ili wamchukue nahodha hassan isihaka ili akakipige ktk timu yao ya " b " na baada ya hapo aje pengine kuwa mbadala wa beki " sergio ramos ". sasa kwa maelezo haya tu mafupi kati ya " mnyama " simba sports club na hao " washamba wa kimataifa " nani anastahili kweli kuitwa wa " kimataifa "?. simba mwaka huu tutauza wachezaji balaa huko " ulaya ".
Ngasa hawakumuuza waliambiwa bei wakakataa , akasubiri mkataba ukaisha akaenda zake bure! SIJUI KAMA HII NDO AKILI KWELI
Moja ya fauda waluonayo wachezaji wanaocgezea Simba ni kuwa wakipata timu nzuri Simba utawaruhusu tofauti na timu ya manji inayozuia wacgezaji ili isifungwe na Simba wako wakina Lunyamila, Tegete, Msuva...
Simba Jana imefanyabiashara baada ya kumuuza mchezaji wao tegemeo Emmanuel Anold Okwii timu ya Daraja la kwanza huko Ulaya...

Mkuu, hawana jipya hao mikia.Simba ilishamuuza Okwi milioni 300 na hawakuambulia hata jero
Huyo jamaa apelekwe za comedy kitengo cha football!Hii comedy hii. Mkuu una kipaji cha kuchekesha, endeleza talent yako utakuja kupiga hela siku moja, wale kina Joti wanazuga tu.
Ngasa hawakumuuza waliambiwa bei wakakataa , akasubiri mkataba ukaisha akaenda zake bure! SIJUI KAMA HII NDO AKILI KWELI
Du ! kweli we nyoka asiye na ukogo!
Moja ya fauda waluonayo wachezaji wanaocgezea Simba ni kuwa wakipata timu nzuri Simba utawaruhusu tofauti na timu ya manji inayozuia wacgezaji ili isifungwe na Simba wako wakina Lunyamila, Tegete, Msuva...
Simba Jana imefanyabiashara baada ya kumuuza mchezaji wao tegemeo Emmanuel Anold Okwii timu ya Daraja la kwanza huko Ulaya...
Moja ya fauda waluonayo wachezaji wanaocgezea Simba ni kuwa wakipata timu nzuri Simba utawaruhusu tofauti na timu ya manji inayozuia wacgezaji ili isifungwe na Simba wako wakina Lunyamila, Tegete, Msuva...
Simba Jana imefanyabiashara baada ya kumuuza mchezaji wao tegemeo Emmanuel Anold Okwii timu ya Daraja la kwanza huko Ulaya...
kweli aisee..............Afadhali mpate pesa ya kulipa madeni ya wachezaji.
Mkuu Inaitwa sonderjyskEHiyo timu haina jina??
Naona hii inaweza kumsaidia kuongeza ujuzi utakaopelekea tumu yake ya taifa kufanya vizuri.Hebu taja hiyo timu ya daraja la kwanza tuijue.usije kuta ni ya ugiriki