Simba yamuuza Emmanuel Okwi timu ya Daraja la 1 Ulaya

Simba yamuuza Emmanuel Okwi timu ya Daraja la 1 Ulaya

watu wenyewe hamueleweki mara mseme mechi leo mara mechi kesho njaa tu na dhiki ndizo zinawasumbueni yanga. mnatafuta hela leo kijanja za kuwamalizia " magovinda " wenu wawili " ngoma " na " zuta ". si mseme tu simba tuwakopesheni hela kwani tumepata hela nyingi sana baada ya kumuuza " super okwinyo " juzi huko nchini denmark na tuna kitu kama bilioni 3 hivi!

Kwa taarifa yako bado hata senti hamjapewa Simba...yaleyale ya Etoile du Sahel....
Njooni mshiriki kagame cup na msikamie Yanga tu
 
simba ndiyo mpango mzima na nawashangaa sana " malofa " fulani tena kupitia kwa " mpashkuna " wao kuwa timu yao ni ya kimataifa zaidi wakati hata ktk ile rekodi iliyotolewa hivi majuzi tu ya vilabu bora duniani na afrika klabu yao haipo huku simba sports club na wazee wa lamba lamba wakichomoza lakini kama hiyo haitoshi hivi utajiitaje " mzee wa kimataifa " wakati huna na hujawahi kuuza mchezaji hata mmoja nje ya nchi achilia mbali huko " ukimataifani " unakokusema? najua kimbilio lao hapa watajitetea kuwa wamemuuza nonda shabani wakati ukweli ni kwamba nonda shabani papii alimaliza mkataba wake yanga na kurudi kwao kisha akaanza mchakato wake binafsi wa kwenda kucheza soka nchi za nje na ndipo akaanzia klabu ya vaal professionals ya afrika ya kusini na najua kuna wengine watasema kuwa yanga imemuuza ngasa klabu ya bidvest ya africa ya kusini lakini kwangu mimi africa kusini ni kama " tandale " tu ila simba tuna rekodi kadhaa ya kuwauza wachezaji ulaya kuanzaia " machupa " nchini denmark, haruna moshi " boban " sweden na sasa " super okwinyo " tena nchini denmark na kuna tetesi xavi hernandez kiungo mahiri kabisa na mstaafu wa fc barcelona amependekeza kwa kocha wao mkuu kuwa waje tanzania kufanya mazungumzo na simba ili wamchukue fundi na mtaalam " said khamis ndemla " huku fc bayern munich nayo ikimtaka kwa udi na uvumba beki ya kushoto " fundi " ya simba mohamed hussein tshabalala na real madrid nao wako ktk mazungumzo ya mwisho na simba ili wamchukue nahodha hassan isihaka ili akakipige ktk timu yao ya " b " na baada ya hapo aje pengine kuwa mbadala wa beki " sergio ramos ". sasa kwa maelezo haya tu mafupi kati ya " mnyama " simba sports club na hao " washamba wa kimataifa " nani anastahili kweli kuitwa wa " kimataifa "?. simba mwaka huu tutauza wachezaji balaa huko " ulaya ".

Unaonekana hata soka hulijui unaandika mambo mengi ambayo ungeweza kuyathibitisha kwa mstari mmoja tu! Da! Mbumbumbu fc! Mpaka mashabiki mnayo kazi!
 
Ngasa hawakumuuza waliambiwa bei wakakataa , akasubiri mkataba ukaisha akaenda zake bure! SIJUI KAMA HII NDO AKILI KWELI
 
Unaonekana hata soka hulijui unaandika mambo mengi ambayo ungeweza kuyathibitisha kwa mstari mmoja tu! Da! Mbumbumbu fc! Mpaka mashabiki mnayo kazi!

niliwahi kusoma shule ya msingi na mwanafunzi mmoja wa kiume mwenye jina linalofanana na la id yako na nakumbuka tokea tunaanza darasa la kwanza hadi tunamaliza la saba kujitahidi kwake kote mara ya mwisho nakumbuka alikuwa ni wa 99 kati ya wanafunzi 100 wa streams zote ila kwa miaka yote sita ya pale skonga namba yake ya " ufaulu " ilikuwa ni hiyo hiyo ya nafasi ya 100 na sina shaka kabisa lazima tu wewe utakuwa ndiyo mwenyewe " mhusika " kwa huu " upoyoyo " wako ulioutoa hapa dhidi yangu.
 
Kuna tetesi xavi hernandez kiungo mahiri kabisa na mstaafu wa fc barcelona amependekeza kwa kocha wao mkuu kuwa waje tanzania kufanya mazungumzo na simba ili wamchukue fundi na mtaalam " said khamis ndemla " huku fc bayern munich nayo ikimtaka kwa udi na uvumba beki ya kushoto " fundi " ya simba mohamed hussein tshabalala na real madrid nao wako ktk mazungumzo ya mwisho na simba ili wamchukue nahodha hassan isihaka ili akakipige ktk timu yao ya " b " na baada ya hapo aje pengine kuwa mbadala wa beki " sergio ramos ". sasa kwa maelezo haya tu mafupi kati ya " mnyama " simba sports club na hao " washamba wa kimataifa " nani anastahili kweli kuitwa wa " kimataifa "?. simba mwaka huu tutauza wachezaji balaa huko " ulaya ".

Hii comedy hii. Mkuu una kipaji cha kuchekesha, endeleza talent yako utakuja kupiga hela siku moja, wale kina Joti wanazuga tu.
 
Ngasa hawakumuuza waliambiwa bei wakakataa , akasubiri mkataba ukaisha akaenda zake bure! SIJUI KAMA HII NDO AKILI KWELI

ulichokisema ndiyo " ukweli " mtupu mkuu. haya tangia lini wakamwachia mchezaji aondoke aende kutafuta " green pastures " nje ya nchi? huyo msuva mwenyewe tu kwa taarifa yako kipindi kile alichoenda kufanya majaribio yake afrika ya kusini kuna wazee wa yanga " waganga " wao walikuwa wanakesha pale klabuni " kuroga " ili dogo asifanikiwe kwa kisingizio kwamba eti ule ulikuwa ni mtego au mbinu ya simba kumtorosha ili baadae tukamsainishe matokeo yake sasa dogo amerudi kiwango chake kimeshuka ghafla, hana morale tena na anakosakosa magoli kizembe kizembe na amekuwa kama mtu asiyejielewa vile. hao ndiyo yanga mkuu " kukuroga " hata uwasahau wazazi wako na usikumbuke kwenu kwao ni kitu kidogo sana. kama waliweza hadi kumfukia mtu bagamoyo mchangani baharini hadi akabaki kichwa wakati wa mechi yao na sisi miaka ya 90 ambapo walitufunga kweli na wakamsahu huyo mtu waliyemfukia hadi maji yakajaa na akafa! kama hiyo haitoshi ili uone yanga kweli " makatili " mechi simba tuliyofungwa goli 3 - 0 jijini mwanza yanga hawa hawa walidiriki hadi kwenda kuiba maiti usiku pale bugando hospital mkoani mwanza ili wafanikishe mambo yao na walipotufunga tu maiti wakairudisha usiku kiaina pale getini bugando. haya ni machache tu mkuu ila yanga wanatofauti ndogo au chache sana na " magaidi ".
 
Moja ya fauda waluonayo wachezaji wanaocgezea Simba ni kuwa wakipata timu nzuri Simba utawaruhusu tofauti na timu ya manji inayozuia wacgezaji ili isifungwe na Simba wako wakina Lunyamila, Tegete, Msuva...
Simba Jana imefanyabiashara baada ya kumuuza mchezaji wao tegemeo Emmanuel Anold Okwii timu ya Daraja la kwanza huko Ulaya...

aisee, kama kauli ya hapo juu ndiwo msimamo wa Simba basi mafanikio ya uwanjani itaendelea kuwa ndoto!

club zote zenye kuhitaji mafanikio huwa zinafanya kila jitihada ku-retain wachezaji wake bora. sijui Simba yetu hii wenye akili wote walishakufa?!
 
Moja ya fauda waluonayo wachezaji wanaocgezea Simba ni kuwa wakipata timu nzuri Simba utawaruhusu tofauti na timu ya manji inayozuia wacgezaji ili isifungwe na Simba wako wakina Lunyamila, Tegete, Msuva...
Simba Jana imefanyabiashara baada ya kumuuza mchezaji wao tegemeo Emmanuel Anold Okwii timu ya Daraja la kwanza huko Ulaya...

Crashed brain!
 
Simba ilishamuuza Okwi milioni 300 na hawakuambulia hata jero
Mkuu, hawana jipya hao mikia.

Huo ndio uuzaji wao. Hela za Tunisia mpaka leo wanadai.
Ya Boban nayo mauzo? Kwanza jamaa ilikuwa waje kudai chao maana waliuziwa mbuzi kwenye gunia.
Kapombe yale yale hamna hata senti tano eti mkopo.
Leo mtu anasema wanauza wachezaji. Kwa mtindo huu, wauze hata timu yote.
Singano huyo Azam inanukia. Huko wameuza Shs ngapi?
 
Hii comedy hii. Mkuu una kipaji cha kuchekesha, endeleza talent yako utakuja kupiga hela siku moja, wale kina Joti wanazuga tu.
Huyo jamaa apelekwe za comedy kitengo cha football!
 
Ngasa hawakumuuza waliambiwa bei wakakataa , akasubiri mkataba ukaisha akaenda zake bure! SIJUI KAMA HII NDO AKILI KWELI

Ya Ngasa na ya Okwi Etoile du sahel ipi afadhali?
Je ya Kapombe? Eti ulikuwa mkopo!
 
Du ! kweli we nyoka asiye na ukogo!

Inawezekana umeeanza kupenda soka baada ya Mchina kumaliza kujenga Uwanja.
Nonda,Kalokola na Bitumba iyela walitoroka Yanga wakiwa hawajafikisha hata nusu ya mikataba yao.

Na kuna kila dalili kuwa viongozi waliokuwa Madarakani kipindi hicho kuvuta mkwanja siwezi kuwataja maana wote walishatangulia mbele ya Haki.

Bitumba aliletwa na Songora patrice, Nonda kwa kupitia Marehemu tambwe leya na Sadiq Kalokola alisajiliwa yeye na Malima kutoka Pan Africa

Nasema kuwa viongozi walichukuwa chao maana hao wachezaji wasingeweza kuchezea huko South sababu walitumikia Yanga kwenye kombe la shirikisho mwaka 1995 leseni zao zilikuwa CAF pia walitumikia Yanga kwenye klabu bingwa Afrika mashariki na kati (Sasa hivi Kagame) wakipangwa kundi B Mjini Mwanza.

Uongozi uliyokuwa Madarakani pia ulipata kuwauza Marehemu Method mogella na Costantine Kimanda Huko falme za kiarabu Msimu Mmoja Kabla kisha pia wanafanya biashara na mfadhili wa Malindi FC. Naushad, kwa kuwauza Lunyamila na Marehemu Bambaga. Kama hujui bora kukaa kimya sio ku comments usichokijuwa
 
Moja ya fauda waluonayo wachezaji wanaocgezea Simba ni kuwa wakipata timu nzuri Simba utawaruhusu tofauti na timu ya manji inayozuia wacgezaji ili isifungwe na Simba wako wakina Lunyamila, Tegete, Msuva...
Simba Jana imefanyabiashara baada ya kumuuza mchezaji wao tegemeo Emmanuel Anold Okwii timu ya Daraja la kwanza huko Ulaya...

InAitwaje hiyo timu huko ulaya
 
Tatizo akili ndogo ndo znafumbua
 
Afadhali mpate pesa ya kulipa madeni ya wachezaji.
 
Hebu taja hiyo timu ya daraja la kwanza tuijue.usije kuta ni ya ugiriki
Naona hii inaweza kumsaidia kuongeza ujuzi utakaopelekea tumu yake ya taifa kufanya vizuri.
Timu yenyewe hii hapa: >>>
Emma Okwi joins Danish side Sonderjyske

2015_7$largeimg210_Jul_2015_110507560.jpg

Emma Okwi unveiled. PHOTO: SønderjyskE

By Fred Kaweesi

Emmanuel Okwi has signed a five-year contract with Danish side Sonderjyske.

The youthful striker, who married his sweetheart Florence Nakalega a couple of weeks ago, joins Sonderjyske from Tanzanian side Simba.

At Simba, Okwi proved his qualities to both the club’s fans and most importantly coach Jakob Michelsen.

“Jakob Michelsen has seen him live around 20 times. We also followed him for a while and are pleased that we were able to agree with him, and not least with his club Simba SC on the transfer fee, Sonderjyske’s director of sports Hans Jorgen Haysen told Danish publication nordschleswiger.dk.

“He has spectacular dribbling skills and is fast on the ball. He is also technically good,” he added.

Although the club were hesitant to disclose the transfer fees involved in the move, there is enough to suggest that the investment was quite lucrative.

“For Sonderjyske this is a big investment, and it is clear that we hope for his age and potential, we’ll eventually sell him at a profit,” said Haysen.

Okwi’s abilities have never been doubted but that doesn’t mean that the club will push for immediate results.

Emma-Okwi-(2).jpg

Emma Okwi juggles a ball at Namboole Stadium
“We know that for Africans, it is hard to get used to European football, to the culture and to the temperatures. We will give him time, but I would want to emphasize that we already expect something from him in the coming season -. It is one of the biggest names in the East African football and he is a big name in the Super League.”

The move should allow Okwi settle, especially considering the controversies that surrounded his previous spell with Tunisian club Etoile du Sahel.

His 300,000 (sh972m) switch to Sahel fell through after both parties failed to agree on personal terms.

Worth the investment

However his move to Denmark, says everything about his progress over the years.

There are of course great forwards out there on the continent, but Okwi can get to that level if he keeps making progress.

When Simba re-signed him after his move to Sahel fell through last season, they knew he would become a really top player and he is going in that direction without question.

He is blessed with certain ingredients that only certain great players have. He has that hunger and determination.

He wants to win every match and every training session. He is blessed with that, and these are wonderful things to take into a game of football these days.

Okwi has not been that consistent for the Cranes and has had some disappointing games, but there is enough to suggest he will improve.

Under, Michelsen last season, he was central to the club’s destiny. His pace and eye for goal can be an asset for any team. He also runs through the channels brilliantly, positives that Sonderjyske will come to appreciate.

Back
Top Bottom