Simba yamuuza Emmanuel Okwi timu ya Daraja la 1 Ulaya

Simba yamuuza Emmanuel Okwi timu ya Daraja la 1 Ulaya

"For Sonderjyske this is a big investment, and it is clear that we hope for his age and potential, we'll eventually sell him at a profit,"


Watakuwa wameingizwa mkenge kuhusu umri wa Okwi hawa. Wanazungumzia resale value ambayo practically haipo.
 
tatizo ameenda bure na sidhani hata kama kuna thumuni itapokelewa
 
tatizo ameenda bure na sidhani hata kama kuna thumuni itapokelewa
Kama Singano Messi alivyoenda AZAM! ...na sasa nasikia kapewa nyumba na gari.
Hivi ni mchezaji gani wa bongo aliwahi kuonekana akikabidhiwa jezi ya timu yoyote Ulaya Magharibi! Msimtaje Njohole hapa maana habari zake hazijasikika miaka mingi.

 
watu wenyewe hamueleweki mara mseme mechi leo mara mechi kesho njaa tu na dhiki ndizo zinawasumbueni yanga. mnatafuta hela leo kijanja za kuwamalizia " magovinda " wenu wawili " ngoma " na " zuta ". si mseme tu simba tuwakopesheni hela kwani tumepata hela nyingi sana baada ya kumuuza " super okwinyo " juzi huko nchini denmark na tuna kitu kama bilioni 3 hivi!

Mmemuuza au ameondoka $ 300,000 za watunisia hamjapata hadi leo ,kweli mambumbumbu FC ndio waliwao
 
Mmemuuza au ameondoka $ 300,000 za watunisia hamjapata hadi leo ,kweli mambumbumbu FC ndio waliwao

Okwi ni mali ya mtu binafsi pale Simba, yeye kachukua chake na klabu imebaki na majigambo kuwa imemuuza Okwi Ulaya. Pole zao mikia!
 
okwi hana mkataba simba viongozi hujigamba kuwa wamemuuza.
kama wamemuuza ni shs ngapi kwa nini hawasemi ni uongo mtupu
 
mambumbumbu siku zote yataongea pumba tu, spelling zenyewe zinakushinda
 
Back
Top Bottom