Simba yamwacha Morison Dar es salaam

Simba yamwacha Morison Dar es salaam

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Simba leo imeondoka kuelekea Zimbabwe ,kwenye kikosi cha wekundu wa msimbazi wanaoenda kukabiliana na Platinum ya Zimbabwe Morison hayupo ameachwa Dar es salaam ,pia ikumbukwe aliachwa pia kwenda Nigeria kucheza na Plateau .

Wapenzi wengi wa simba tulionya humu kwamba usajili wa Morison haufai kutokana na nidhamu ,lakini kama desturi ya watani wa jadi usajili unafanyika kukomoana baina ya timu hizi.

Wachezaji wanaong'aa kwenye hizi timu ni heri kudumisha namba yako pale unapong'aa ,sidhani kama leo hii Yanga wanamhitaji kama walivyomhitaji wakati huo labda itatokea kwenye hali ya kukomoana ila si kwa viwango vya mchezaji,ajibu aliondoka simba kwa kukomoa ,alipoenda Yanga hadi akawa captain ,katika hali ya kukomoana simba ikamrudisha na sasa anasugua benchi,hivo hivo kwa Beno Kakolanya .

Je kama ni utovu wa nidhamu kuonyesha kidole cha kati simba ingemwacha Dar es salaam Wawa au Miquison wangefanya hicho kitendo ?.

Karma is a bitch ,mchezaji anaaminiwa na timu baadaye anaondoka kwa kukomoa mwishowe hata kule anakoenda haaminiki .

Na za chini chini TFF imesema kuhusu hiyo kitendo alichofanya Morison wanasubiri adhabu watakayompa Simba halafu barua ipelekwe na wao waje na vifungu vyao vya adhabu, Simba imeona isiwe kesi wamwache huku wakiwaza la kufanya.

Mwisho wa Morison ni kumtoa kwa uhamisho kwenye timu ndogo au aende timu ndogo huko kwingine nje ya Tanzania ,hii mechi ya muhimu je ataonekana vipi wakati mechi zote za kimataifa ameachwa ?maana hata simba wameshaona rangi yake halisi kwamba hafai.
 
Ulivyodanganya tu kuwa 'pia aliachwa dar simba ilipoenda Nigeria' nimejiuliza sana level ya uongo na kutunga story ulionao mtoa mada nadhani unaweza sana fix ongeza tu juhudii
 
Simba leo imeondoka kuelekea Zimbabwe ,kwenye kikosi cha wekundu wa msimbazi wanaoenda kukabiliana na Platinum ya Zimbabwe Morison hayupo ameachwa Dar es salaam ,pia ikumbukwe aliachwa pia kwenda Nigeria kucheza na Plateau .

Wapenzi wengi wa simba tulionya humu kwamba usajili wa Morison haufai kutokana na nidhamu ,lakini kama desturi ya watani wa jadi usajili unafanyika kukomoana baina ya timu hizi.

Wachezaji wanaong'aa kwenye hizi timu ni heri kudumisha namba yako pale unapong'aa ,sidhani kama leo hii Yanga wanamhitaji kama walivyomhitaji wakati huo labda itatokea kwenye hali ya kukomoana ila si kwa viwango vya mchezaji,ajibu aliondoka simba kwa kukomoa ,alipoenda Yanga hadi akawa captain ,katika hali ya kukomoana simba ikamrudisha na sasa anasugua benchi,hivo hivo kwa Beno Kakolanya .

Je kama ni utovu wa nidhamu kuonyesha kidole cha kati simba ingemwacha Dar es salaam Wawa au Miquison wangefanya hicho kitendo ?.

Karma is a bitch ,mchezaji anaaminiwa na timu baadaye anaondoka kwa kukomoa mwishowe hata kule anakoenda haaminiki .

Na za chini chini TFF imesema kuhusu hiyo kitendo alichofanya Morison wanasubiri adhabu watakayompa Simba halafu barua ipelekwe na wao waje na vifungu vyao vya adhabu, Simba imeona isiwe kesi wamwache huku wakiwaza la kufanya.

Mwisho wa Morison ni kumtoa kwa uhamisho kwenye timu ndogo au aende timu ndogo huko kwingine nje ya Tanzania ,hii mechi ya muhimu je ataonekana vipi wakati mechi zote za kimataifa ameachwa ?maana hata simba wameshaona rangi yake halisi kwamba hafai.
Acha kupotosha we kima
 
Shikeni yenu
IMG-20201218-WA0031.jpg
 
Back
Top Bottom