Simba yamwacha Morison Dar es salaam

Simba yamwacha Morison Dar es salaam

... Morison hayupo ameachwa Dar es salaam ,pia ikumbukwe aliachwa pia kwenda Nigeria kucheza na Plateau .
Nijuavyo mimi ni kwamba Morrison alienda Nigeria na alicheza, na dakika ya mwisho kabisa ya mchezo aliangushwa ndani ya eneo la 18, mshika kibendera akasema penalty mwamuzi akasema kona. Kwa uongo huo, taarifa nzima imekosa uhalali

1608314509200.png
 
Mambo ya Simba yanawatesa sana yanga,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mleta mada k@nye ulale.
 
Simba leo imeondoka kuelekea Zimbabwe ,kwenye kikosi cha wekundu wa msimbazi wanaoenda kukabiliana na Platinum ya Zimbabwe Morison hayupo ameachwa Dar es salaam ,pia ikumbukwe aliachwa pia kwenda Nigeria kucheza na Plateau .

Wapenzi wengi wa simba tulionya humu kwamba usajili wa Morison haufai kutokana na nidhamu ,lakini kama desturi ya watani wa jadi usajili unafanyika kukomoana baina ya timu hizi.

Wachezaji wanaong'aa kwenye hizi timu ni heri kudumisha namba yako pale unapong'aa ,sidhani kama leo hii Yanga wanamhitaji kama walivyomhitaji wakati huo labda itatokea kwenye hali ya kukomoana ila si kwa viwango vya mchezaji,ajibu aliondoka simba kwa kukomoa ,alipoenda Yanga hadi akawa captain ,katika hali ya kukomoana simba ikamrudisha na sasa anasugua benchi,hivo hivo kwa Beno Kakolanya .

Je kama ni utovu wa nidhamu kuonyesha kidole cha kati simba ingemwacha Dar es salaam Wawa au Miquison wangefanya hicho kitendo ?.

Karma is a bitch ,mchezaji anaaminiwa na timu baadaye anaondoka kwa kukomoa mwishowe hata kule anakoenda haaminiki .

Na za chini chini TFF imesema kuhusu hiyo kitendo alichofanya Morison wanasubiri adhabu watakayompa Simba halafu barua ipelekwe na wao waje na vifungu vyao vya adhabu, Simba imeona isiwe kesi wamwache huku wakiwaza la kufanya.

Mwisho wa Morison ni kumtoa kwa uhamisho kwenye timu ndogo au aende timu ndogo huko kwingine nje ya Tanzania ,hii mechi ya muhimu je ataonekana vipi wakati mechi zote za kimataifa ameachwa ?maana hata simba wameshaona rangi yake halisi kwamba hafai.
Apelekwe gwambina kwa mkopo
 
Maelezo mengi hakuna point. UNAJUA KILICHOMFANYA AACHWE,?
 
Vaa bikini cheza kibao kata ,shoga wa matopeni
Kitaalam nyan hana uwezo mkubwa wa kufikiri. Ku analyse na ku evaluate mambo. ONGEZEA NA UVAAJI WENU WA MADELA NA VIJORA. Wa mama ktk ubora wenu
 
Ushauri wangu kwa TFF kama ikiwapendeza wawe na Utaratibu Maalum wa Kupima Akili Timamu za Wachezaji wa VPL kila baada ya Miezi mitatu.
 
Back
Top Bottom