Simba & Yanga combined XI

Simba & Yanga combined XI

Mario Kempes

Member
Joined
Jun 29, 2021
Posts
63
Reaction score
122
Kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo Jumamosi, hiki ndio kikosi changu cha first eleven kutoka Simba na Yanga, Simba wamefanikiwa kupenya wachezaji wanne tu huku Yanga wakiwa na wachezaji 7 kama ifuatavyo

1. Aishi Manula
2. Shabani Djuma
3. Tshabalala
4. Mwanyeto
5. Job
6. Bangala
7. Moloko
8. Aucho
9. Kagere
10. Feisal
11. Morrison

Unakubaliana na mimi? Leta mawazo yako
 
Manula Amna Kitu Apo.
 
Kwa kipa nadhan anastahili Diarra
Waliobaki ni sawa tu
Kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo Jumamosi, hiki ndio kikosi changu cha first eleven kutoka Simba na Yanga, Simba wamefanikiwa kupenya wachezaji wanne tu huku Yanga wakiwa na wachezaji 7 kama ifuatavyo

1. Aishi Manula
2. Shabani Djuma
3. Tshabalala
4. Mwanyeto
5. Job
6. Bangala
7. Moloko
8. Aucho
9. Kagere
10. Feisal
11. Morrison

Unakubaliana na mimi? Leta mawazo yako
 
Kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo Jumamosi, hiki ndio kikosi changu cha first eleven kutoka Simba na Yanga, Simba wamefanikiwa kupenya wachezaji wanne tu huku Yanga wakiwa na wachezaji 7 kama ifuatavyo

1. Aishi Manula
2. Shabani Djuma
3. Tshabalala
4. Mwanyeto
5. Job
6. Bangala7. Moloko
8. Aucho
9. Kagere
10. Feisal
11. Morrison

Unakubaliana na mimi? Leta mawazo yako
Manula ni pazia tu, utamwachaje Mayele for example.
 
Umekosea sana,pazia Manula amuweke bench Diara
 
Unatengenezaje timu alafu unajaza wachezaji walioaibisha nchi kwa kupigwa nje ndani kimataifa?
Kwamba simba angefurukuta kwa Rivers united endapo angepangwa nao wakati Galaxy tu imewatoa nje ya mashindano. Tujifunze kuweka ulinganifu kwa kuangalia mazingira yaliyokwepo
 
Kwamba simba angefurukuta kwa Rivers united endapo angepangwa nao wakati Galaxy tu imewatoa nje ya mashindano. Tujifunze kuweka ulinganifu kwa kuangalia mazingira yaliyokwepo
Umeandika nini sasa?,mi nimesema timu imeaibisha nchi kwa kupigwa nje ndani.

Utopolo 0 - 1Rivers nyumbani.
Rivers 1 - 0 Utopolo ugenini.
Jumla ya magoli ni Rivers 2-0 Utopolo.

Simba 2-0 Galaxy ugenini.
Simba 1-3 Galaxy nyumbani.
Jumla ya magoli Simba 3-3 Galaxy.
Galax kafuzu kwa egg.magoli ya ugenini.

Sijui umeelewa Utopwinyo?
 
Una akili sana. Utopolo hawezi kukuelewa
 
Umeandika nini sasa?,mi nimesema timu imeaibisha nchi kwa kupigwa nje ndani.

Utopolo 0 - 1Rivers nyumbani.
Rivers 1 - 0 Utopolo ugenini.
Jumla ya magoli ni Rivers 2-0 Utopolo.

Simba 2-0 Galaxy ugenini.
Simba 1-3 Galaxy nyumbani.
Jumla ya magoli Simba 3-3 Galaxy.
Galax kafuzu kwa egg.magoli ya ugenini.

Sijui umeelewa Utopwinyo?
Then ukaenda wapi?
 
Back
Top Bottom