Mario Kempes
Member
- Jun 29, 2021
- 63
- 122
Manula Amna Kitu Apo.Kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo Jumamosi, hiki ndio kikosi changu cha first eleven kutoka Simba na Yanga, Simba wamefanikiwa kupenya wachezaji wanne tu huku Yanga wakiwa na wachezaji 7 kama ifuatavyo
1. Aishi Manula
2. Shabani Djuma
3. Tshabalala
4. Mwanyeto
5. Job
6. Bangala
7. Moloko
8. Aucho
9. Kagere
10. Feisal
11. Morrison
Unakubaliana na mimi? Leta mawazo yako
Kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo Jumamosi, hiki ndio kikosi changu cha first eleven kutoka Simba na Yanga, Simba wamefanikiwa kupenya wachezaji wanne tu huku Yanga wakiwa na wachezaji 7 kama ifuatavyo
1. Aishi Manula
2. Shabani Djuma
3. Tshabalala
4. Mwanyeto
5. Job
6. Bangala
7. Moloko
8. Aucho
9. Kagere
10. Feisal
11. Morrison
Unakubaliana na mimi? Leta mawazo yako
Manula ni pazia tu, utamwachaje Mayele for example.Kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo Jumamosi, hiki ndio kikosi changu cha first eleven kutoka Simba na Yanga, Simba wamefanikiwa kupenya wachezaji wanne tu huku Yanga wakiwa na wachezaji 7 kama ifuatavyo
1. Aishi Manula
2. Shabani Djuma
3. Tshabalala
4. Mwanyeto
5. Job
6. Bangala7. Moloko
8. Aucho
9. Kagere
10. Feisal
11. Morrison
Unakubaliana na mimi? Leta mawazo yako
inafikirisha kwa kweliUnatengenezaje timu alafu unajaza wachezaji walioaibisha nchi kwa kupigwa nje ndani kimataifa?
Kwamba simba angefurukuta kwa Rivers united endapo angepangwa nao wakati Galaxy tu imewatoa nje ya mashindano. Tujifunze kuweka ulinganifu kwa kuangalia mazingira yaliyokwepoUnatengenezaje timu alafu unajaza wachezaji walioaibisha nchi kwa kupigwa nje ndani kimataifa?
Inashangaza kabisa.Unatengenezaje timu alafu unajaza wachezaji walioaibisha nchi kwa kupigwa nje ndani kimataifa?
Umeandika nini sasa?,mi nimesema timu imeaibisha nchi kwa kupigwa nje ndani.Kwamba simba angefurukuta kwa Rivers united endapo angepangwa nao wakati Galaxy tu imewatoa nje ya mashindano. Tujifunze kuweka ulinganifu kwa kuangalia mazingira yaliyokwepo
Una akili sana. Utopolo hawezi kukuelewaUmeandika nini sasa?,mi nimesema timu imeaibisha nchi kwa kupigwa nje ndani.
Utopolo 0 - 1Rivers nyumbani.
Rivers 1 - 0 Utopolo ugenini.
Jumla ya magoli ni Rivers 2-0 Utopolo.
Simba 2-0 Galaxy ugenini.
Simba 1-3 Galaxy nyumbani.
Jumla ya magoli Simba 3-3 Galaxy.
Galax kafuzu kwa egg.magoli ya ugenini.
Sijui umeelewa Utopwinyo?
Then ukaenda wapi?Umeandika nini sasa?,mi nimesema timu imeaibisha nchi kwa kupigwa nje ndani.
Utopolo 0 - 1Rivers nyumbani.
Rivers 1 - 0 Utopolo ugenini.
Jumla ya magoli ni Rivers 2-0 Utopolo.
Simba 2-0 Galaxy ugenini.
Simba 1-3 Galaxy nyumbani.
Jumla ya magoli Simba 3-3 Galaxy.
Galax kafuzu kwa egg.magoli ya ugenini.
Sijui umeelewa Utopwinyo?
Kwa hiyo hapo Wawa, Kanoute, Boko wanakaa wapi?Unatengenezaje timu alafu unajaza wachezaji walioaibisha nchi kwa kupigwa nje ndani kimataifa?