NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Makundi shirikisho na m 600 imeingia kwenye club na viti maalum tumewapigania.Then ukaenda wapi?
Mbona hizo nafasi za kimataifa sisi ndo tumeshiriki mara nyingi.Makundi shirikisho na m 600 imeingia kwenye club na viti maalum tumewapigania.
Huyo Tadeo anacheza huko kwenu Sindimbi Premier LeagueToa moloko apo weka tadeo lwanga. Unakuwa kama unafeli sasa
Kakate vitunguu hujui kabumbuKIKOSI.
1.MANULA
2.KAPOMBE
3.TSHABALALA
4.BANGALA
5.ONYANGO
6.MKUDE
7.MOLOKO
8.FEISAL
9.KAGERE
10.AUCHO
11.MORRISON
MFUMO
4-2-3-1
(KAPOMBE-BANGALA-ONYANGO-TSHABALALA)
(MKUDE-FEISAL)
(MOLOKO-AUCHO-MORRISON)
(KAGERE).
MAKOCHA
MKUU- JAMUHURI KIHWELO "JULIO"
MSAIDIZI - FREDY MINZILO
KOCHA WA MAKIPA - KASEJA
TIMU MENEJA - NADIR HAROUB
Hayo ni maoni yangu na sio sheriaManula ni pazia tu, utamwachaje Mayele for example.
Kagere striker, dah. Zee la kuvizia kama jambazi njia panda.KIKOSI.
1.MANULA
2.KAPOMBE
3.TSHABALALA
4.BANGALA
5.ONYANGO
6.MKUDE
7.MOLOKO
8.FEISAL
9.KAGERE
10.AUCHO
11.MORRISON
MFUMO
4-2-3-1
(KAPOMBE-BANGALA-ONYANGO-TSHABALALA)
(MKUDE-FEISAL)
(MOLOKO-AUCHO-MORRISON)
(KAGERE).
MAKOCHA
MKUU- JAMUHURI KIHWELO "JULIO"
MSAIDIZI - FREDY MINZILO
KOCHA WA MAKIPA - KASEJA
TIMU MENEJA - NADIR HAROUB
Nahisi yupo confederation cup ambapo yanga alichemshaThen ukaenda wapi?
Ndio nashangaaBila Djuma Shaaban na Mayele ni sawa na bhangi bila kiberiti.
Ile ya Galaxy pia ilikuwa aibu, tena kubwa tu!Umeandika nini sasa?,mi nimesema timu imeaibisha nchi kwa kupigwa nje ndani.
Utopolo 0 - 1Rivers nyumbani.
Rivers 1 - 0 Utopolo ugenini.
Jumla ya magoli ni Rivers 2-0 Utopolo.
Simba 2-0 Galaxy ugenini.
Simba 1-3 Galaxy nyumbani.
Jumla ya magoli Simba 3-3 Galaxy.
Galax kafuzu kwa egg.magoli ya ugenini.
Sijui umeelewa Utopwinyo?
Kwahiyo awekwe mdaka mishale?Umekosea sana,pazia Manula amuweke bench Diara
Timu nyingine wachezaji wake mshindani wake mkuu ni Dodoma jiji na Ihefu na nyingine mshindani wake mkuu ni RS Bekane , Ally ahaly , Tp mazembe nk halafu uwachanganye na huo ugoro .Huo utakuwa ukichaa ulio kubuhu.Kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo Jumamosi, hiki ndio kikosi changu cha first eleven kutoka Simba na Yanga, Simba wamefanikiwa kupenya wachezaji wanne tu huku Yanga wakiwa na wachezaji 7 kama ifuatavyo
1. Aishi Manula
2. Shabani Djuma
3. Tshabalala
4. Mwanyeto
5. Job
6. Bangala
7. Moloko
8. Aucho
9. Kagere
10. Feisal
11. Morrison
Unakubaliana na mimi? Leta mawazo yako
Toa nyeto weka INONGA BAKA mutu ya kazi,Kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo Jumamosi, hiki ndio kikosi changu cha first eleven kutoka Simba na Yanga, Simba wamefanikiwa kupenya wachezaji wanne tu huku Yanga wakiwa na wachezaji 7 kama ifuatavyo
1. Aishi Manula
2. Shabani Djuma
3. Tshabalala
4. Mwanyeto
5. Job
6. Bangala
7. Moloko
8. Aucho
9. Kagere
10. Feisal
11. Morrison
Unakubaliana na mimi? Leta mawazo yako