Simba, Yanga jifunzeni kwa Kagera Sugar

Simba, Yanga jifunzeni kwa Kagera Sugar

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,433
Reaction score
8,585
Binafsi niwapongeze kwa dhati viongozi wa timu ya kagera sugar kwa uaminifu mkubwa waliounyesha kwa kocha wao mecky mexime, pamoja na timu kutofanya vizuri mwaka jana hadi kunusurika kushuka daraja katika zile playoff wala hawakupandwa na pressure wakakaa chini wakatafakari wapi wameteleza na mwak huu timu ndiyo hiyoooo inafanya vizuri kabisa.

Fikiria ingekuwa simba au yanga
Mfani mzuri ni kocha wa simba Patrick Ausemms tim inacheza vizuri inapata matokeo bado kocha anataka kufukuzwa ukiuliza sababu unaambiwa kocha ana urafiki sana na wachezaji
Lipi jema sasa maana mwaka jana masoud Juma alifukuzwa tukiambiwa alikuwa mchonganishi wa wachezaji leo kocha rafiki wa wachezaji hatumtaki

MKUDE matatizo yake ya nidhamu hayajaanza leo toka enzi na enzi
Wala msimzingizie kocha Patrick
 
Kagera wamechukua kombe gani?
Mikia wametokota kumtimua Uchebe
 
hamna cha kujifunza kwa kagera over

IIa Mecky ni kocha bana.
 
Back
Top Bottom