Simba & Yanga Special Thread

Hata mimi nimeshangaa kuwaweka Yanga na hao jamaa pamoja, level ya Yanga ni Raja Casablanca,Tp Mazembe au Zamaleki, Simba na wenzao kina Mbao,Majimaji Mwadui.
unachochea Thread iwe na replies nyingi,endelea na uchochezi
 
1. Bartez
2. Juma Abdul Mnyamani
3. Haji Mwinyi Mngwali
4. Andrew Vicent 'Dante''
5. Kelvin Yondani 'Vidic'
6. Mbuyu Kabange Twite 'Chuma'
7. Simon Happygod Msuva
8. Thaban Scara Kamusoko
9. Amis Joycelyn Tambwe
10. Donald Dombo Ngoma
11. Deus Kaseke

Sub;
Dida
Vicent Bassou
Haruna Niyonzima
Oscar Joshua
Juma Mahadhi
Matteo Damian
 
huyu mahadhi mi naonaga bora aanze first 11,mbona Chwirwa hayupo??
 
huyu mahadhi mi naonaga bora aanze first 11,mbona Chwirwa hayupo??
Upo sahihi, kinachomtofautisha Kaseke ni uwezo wake wa kusaidia kukaba pindi adui anapo miliki mpira. Chirwa anahitaji muda kidogo, hii gemu ya machozi jasho na damu.
 
Upo sahihi, kinachomtofautisha Kaseke ni uwezo wake wa kusaidia kukaba pindi adui anapo miliki mpira. Chirwa anahitaji muda kidogo, hii gemu ya machozi jasho na damu.
chwirwa kama pogba tu
 
badirisha font color...
 
Hiyo kikosi ya simba ya lini mbona siwaoni mavugo,kichuya na blagnon
 
Hiyo kikosi ya simba ya lini mbona siwaoni mavugo,kichuya na blagnon
msimu uliopita ndiyo maana yupo kiiza, kesy, Mgosi, Majavi, yule beki rasta ambaye hayupo pia simba pia msimu huu hatutumii jezi za aina hii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…