M mojawapo Member Joined Mar 9, 2010 Posts 66 Reaction score 8 Sep 4, 2010 #1 Hivi leo katika uwanja wa Taifa hapo Dar, Simba na Gor Mahia watakutana katika mechi ya kirafiki. Yanga Na Gor Mahia watakutana huko Arusha kesho kutwa.
Hivi leo katika uwanja wa Taifa hapo Dar, Simba na Gor Mahia watakutana katika mechi ya kirafiki. Yanga Na Gor Mahia watakutana huko Arusha kesho kutwa.