Simba yapanda kuwa klabu ya tano kwa ubora Africa michuano ya Caf,

Simba yapanda kuwa klabu ya tano kwa ubora Africa michuano ya Caf,

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
1709403721651.png
 
mwaka huu yanga atacheza nusu fainali ya CAF atamshusha berkane,zamalek,tp mazembe na raja...means kabla mwaka hujaisha atashika nafasi ya 8
 
mwaka huu yanga atacheza nusu fainali ya CAF atamshusha berkane,zamalek,tp mazembe na raja...means kabla mwaka hujaisha atashika nafasi ya 8
Inategemea na timu zitazopangwa

Yeyote kati ya Simba au Yanga akipangiwa Mamelodi, Safari imeisha hapo

Ubaya wa nafasi ya pili kundini ni kuanzia nyumbani unamalizia ugenini
 
Back
Top Bottom