Simba yapanda kwa ubora wa klabu CAF

Simba yapanda kwa ubora wa klabu CAF

Madrid msimu uliopita alitolewa naajax uefa Ila dunia inafahamu Madrid nibora kuliko hata Tottenham ilyofika final,Simba kutokewa na ud songo haimaanish ndyo wabovu
 
Aliye waita Simba Mbumbumbu alikua sahihi, yaani timu yao inagalagala mchangani alafu wana ambiwa imepandaki wango wana kenua meno kushangilia. Ivi timu ya simba imetolewa hatua ya mwanzo na timu iliyo itoa ata katika nafasi miamoja haimo wewe una ambiwa unashika namba 16 kwa ubora alafu unafurahi !!!.
Wewe Bora hata Baba yako angepiga punyeto tuu baaasi, Man city Juzi aliwekwa 2 kavuuu na mbweha wolves je wolves ni Bora kuliko Man city??
 
Mtani wangu wa M-Simba+zi HoNgErA zenu,lakini sisi timu wananchi tunakosea wapi?mbona tupo baridiiii hata kwenye lank ya Caf?
 
Back
Top Bottom