Wewe Bora hata Baba yako angepiga punyeto tuu baaasi, Man city Juzi aliwekwa 2 kavuuu na mbweha wolves je wolves ni Bora kuliko Man city??Aliye waita Simba Mbumbumbu alikua sahihi, yaani timu yao inagalagala mchangani alafu wana ambiwa imepandaki wango wana kenua meno kushangilia. Ivi timu ya simba imetolewa hatua ya mwanzo na timu iliyo itoa ata katika nafasi miamoja haimo wewe una ambiwa unashika namba 16 kwa ubora alafu unafurahi !!!.
SAcha mayowe, record inaibeba simba. Upande wa nyuma wa iyo list yanga ni kwanza
Namba haziongopi dada mkubwaUbora kwa kutolewa na UD SONGO, Yanga tungepangiwa hawa UD SONGO tungewafunga hata goli 10 . simba hamna kitu