OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Simba Sc nafasi ya 20,ipo 20 bora na kina Enyimba, CS Constantine
Yanga ipo nafasi ya 54
Source
CAF 5-Year Ranking - Wikipedia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngazi kwa ngaziNilijua mpo 3 bora kumbe hata 10 bora hampo
Yanga watapanda lift fasta nyie endeleeni na hizo ngaziNgazi kwa ngazi
Ahsante kwa taarifa ILA ungeweka Source (url) ya hii taarifa ingependeza zaidiView attachment 1049732
Simba Sc nafasi ya 20,ipo 20 bora na kina Enyimba, CS Constantine
View attachment 1049738
Yanga ipo nafasi ya 54
😂😂😂😂Maji maji timu yangu ya ngapi?
Adui mwombee njaa hureeeView attachment 1049732
Simba Sc nafasi ya 20,ipo 20 bora na kina Enyimba, CS Constantine
View attachment 1049738
Yanga ipo nafasi ya 54
CAF 5-Year Ranking - WikipediaAhsante kwa taarifa ILA ungeweka Source (url) ya hii taarifa ingependeza zaidi
Hiyo ranking ni ya 17 March,kama nimeelewa vizuri maelezo ni kwamba kuna clubs bado zinaendelea na mashindano ya CAF,kwa hiyo ranking itaenda kuchekechwa. Hivyo wanyama tukitinga nusu tunaweza kujikuta 10 boraKwanini position moja inakaliwa na timu zaidi ya moja? Halafu sitaki kuamini kama simba hawajaingia 15 bora wakati wametinga robo fainali CAF.....hebu nifafanulie vizuri Mwanasimba mwenzangu OKW BOBAN SUNZU