Simba yapanda viwango vya soka Afrika,yaiacha Yanga mbaaali

Simba yapanda viwango vya soka Afrika,yaiacha Yanga mbaaali

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
53789536_1358390850967809_186529411758030848_n.jpg

Simba Sc nafasi ya 20,ipo 20 bora na kina Enyimba, CS Constantine

CAF 2.jpeg


Yanga ipo nafasi ya 54

Source
CAF 5-Year Ranking - Wikipedia
 
Ha ha ha .... Interesting !! Naziombe na kuzitakia Ubingwa timu za TZ !!
inshaAllah siku hiyo itafika...
 
Kwanini position moja inakaliwa na timu zaidi ya moja? Halafu sitaki kuamini kama simba hawajaingia 15 bora wakati wametinga robo fainali CAF.....hebu nifafanulie vizuri Mwanasimba mwenzangu OKW BOBAN SUNZU
Hiyo ranking ni ya 17 March,kama nimeelewa vizuri maelezo ni kwamba kuna clubs bado zinaendelea na mashindano ya CAF,kwa hiyo ranking itaenda kuchekechwa. Hivyo wanyama tukitinga nusu tunaweza kujikuta 10 bora
 
Watani hawataipenda hii maana sa hivi wanalalama kwamba tulitumia dawa kwa wakongo kisa tulipiga bao mbili na wao kamoja waache wivu wa kike.😃😃😃
 
Back
Top Bottom