Simba yapanda viwango vya soka Afrika,yaiacha Yanga mbaaali

Ha ha ha .... Interesting !! Naziombe na kuzitakia Ubingwa timu za TZ !!
inshaAllah siku hiyo itafika...
 
this ith thimba bwana,,,by mwl kashasha,...

simba kila inavyozidi songa mbele ndo mgogoro wa yanga unazidi kushamiri,,,
,aka kandambili aka vyura aka migongo wazi aka wazee wa bakuli aka kanyela momo,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini position moja inakaliwa na timu zaidi ya moja? Halafu sitaki kuamini kama simba hawajaingia 15 bora wakati wametinga robo fainali CAF.....hebu nifafanulie vizuri Mwanasimba mwenzangu OKW BOBAN SUNZU
Hiyo ranking ni ya 17 March,kama nimeelewa vizuri maelezo ni kwamba kuna clubs bado zinaendelea na mashindano ya CAF,kwa hiyo ranking itaenda kuchekechwa. Hivyo wanyama tukitinga nusu tunaweza kujikuta 10 bora
 
Watani hawataipenda hii maana sa hivi wanalalama kwamba tulitumia dawa kwa wakongo kisa tulipiga bao mbili na wao kamoja waache wivu wa kike.πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…