carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Simba imedhamiria kuongeza morali na upambanaji wa wachezaji wake msimu huu , mapema leo Rais wa heshima wa Simba SC Mohamed Dewji ametangaza rasmi kuongeza bunus kwenye mechi za Ligi kuu kutoka Milioni 20 hadi milioni 40 kwa kila ushindi
Bunus hizi zitatolewa kwenye mechi zote za Ligi kuu endapo Simba itakuwa inashinda isipokuwa mechi ya Derby , mechi dhidi ya Azam FC na Singida Black Stars
Bunus hizi zitatolewa kwenye mechi zote za Ligi kuu endapo Simba itakuwa inashinda isipokuwa mechi ya Derby , mechi dhidi ya Azam FC na Singida Black Stars