carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Simba imedhamiria kuongeza morali na upambanaji wa wachezaji wake msimu huu , mapema leo Rais wa heshima wa Simba SC Mohamed Dewji ametangaza rasmi kuongeza bunus kwenye mechi za Ligi kuu kutoka Milioni 20 hadi milioni 40 kwa kila ushindi
Bunus hizi zitatolewa kwenye mechi zote za Ligi kuu endapo Simba itakuwa inashinda isipokuwa mechi ya Derby , mechi dhidi ya Azam FC na Singida Black Stars
Mangungu amekaa na rais wa heshima ndio wakaja na hili wazo la kuongeza ngawira.Vita ya kunguru hii.. nae mangungu ataahidi nini..!?
Hongera yaoMangungu amekaa na rais wa heshima ndio wakaja na hili wazo la kuongeza ngawira.
Mwenyekiti alishasema, pesa yoyote inayotoka kwa mwekezaji wanasainishwa kama mkopoSimba imedhamiria kuongeza morali na upambanaji wa wachezaji wake msimu huu , mapema leo Rais wa heshima wa Simba SC Mohamed Dewji ametangaza rasmi kuongeza bunus kwenye mechi za Ligi kuu kutoka Milioni 20 hadi milioni 40 kwa kila ushindi
Bunus hizi zitatolewa kwenye mechi zote za Ligi kuu endapo Simba itakuwa inashinda isipokuwa mechi ya Derby , mechi dhidi ya Azam FC na Singida Black Stars