Simba yapata kocha mpya

Simba yapata kocha mpya

Chevi_masta

Member
Joined
Sep 13, 2021
Posts
11
Reaction score
15
"Tangu aondoke Kocha wa Viungo wa zamani Simba tumekaa muda kidogo bila Kocha mpya wa Viungo, niwaambie wana Simba hii Wiki haiishii tutamleta Kocha mpya wa Viungo" Ahmed Ally
20221114_163444_0000.jpg
 
Yaani mtoa post umepost tetesi Tena za kocha wa viungo, mtu akisoma heading TU anaweza kudhani ni Ile ya akina matola na mgunda.
 
Safari hii huyo kocha wao wa viungo anatokea wapi? Barcelona, au Bayern Munich?
 
Simba wamekuwa WABABAISHAJI SANA.

Kuanzia Mo.
Usajili.
Kamati.
Uchaguzi.
Kocha.
Wachezaji.

KILA KITU VURURU VURURU.
 
Huyu ana vyeti? Au nae kasoma elimu ya hapa na pale
 
Back
Top Bottom