Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Salaaaam wakuu
Kwa jinsi ninavyoona singida Black stars wanavyowasha moto pale kileleni na kuwa namba Moja .......ninapata wasiwasi jinsi upinzani wa kugombania nafasi ya pili baina ya Simba na singida big stars utakavyokua mgumu
Kwasababu ni lazima tu Yanga atakua no 1 kwenye msimamo then wengine hawa watakula kwenye vita Kali sana
NB: Je Nan atashinda battle la nafasi ya pili kati ya Simba na big stars where other factors ( team remain constant