Basi umekosea mkuu....Mkuu kwani muda mwingine hua unaamka na kindi manake saingine hata mim mwana jangwani mwenzio hua napata wakati mgumu kukuelewa..
Kwasasa hakuna timu ligi kuu inaitwa Singida fountain gate..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aaah nikweli...inajulikana ....nafasi ya kwanza ni ya yanga
Thread zako ndo zinaanzaga na neno SIIONI SIMBA IKISHINDA LEONdo nn mkuu
Unajifanya haujui🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndo nn mkuu
Jamaa anajifanya hajui eti anakuliza ndio nini wakati ndio kauli zake.Mzee wa siioni simba.......
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hakika huko nyuma hakuwa hivi aise amebadirika.Siku hizi huombi ufanywe lolote, umekuaje?. Huko nyuma hukuwa hivi, ilikuwa lazima uombe kufanywa jambo. Utasikia, Siioni Simba ikishinda, naomba nipigwe ban.
HahahaJamaa anajifanya hajui eti anakuliza ndio nini wakati ndio kauli zake.
Simba ni katili mno.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hakika huko nyuma hakuwa hivi aise amebadirika.