Simba yapeleka malalamiko CAF kufuatia Tukio la Moshi uliosababishwa na mashabiki wa wydad

Simba yapeleka malalamiko CAF kufuatia Tukio la Moshi uliosababishwa na mashabiki wa wydad

KENGE 01

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
1,705
Reaction score
4,217
Mods sahihisha kichwa cha habari "Uliosababishwa"

Klabu kubwa Nchini TZ kabla ya kusafiri leo 24 April.Imeandikia barua ya malalamiko CAF kufuatia kitendo cha mashabiki wa wydad kusambaza moshi uwanja wa mkapa siku ya jumapili.Moshi uliopelekea mechi kusimama kwa dakika kadhaa

Pia,Simba SC imeomba CAF itoe Onyo kali kwa mashabiki wa Wydad kuelekea mechi ya marudiano itakayopigwa nchini Morocco mji wa Casablanca.

Simba imeiomba bodi ya CAF kutoa adhabu kali ikiwemo kupewa point endapo mashabiki wa wydad watarudia vitendo kama walivyovifanya Kwa mkapa

IKUMBUKWE mechi itapigwa saa 8 usiku kwa saa za EAC ambapo kwa saa za morocco ni saa5 usiku na ticket za uwanja wa Wydad zinaelekea kuisha huku VIP level 1 na 2 zikiwa zimeuzwa zote(Sold out)

Nawasilisha!!
 
Huko morocco usipime wanapiga mpaka mafataki hayo mamoshi yanalipuliwa namabomu ya mkono (grenades) ikisaidiwa na drones maalaumu ,hali ya hewa inabadilika na kuwa atmosphere ya kutisha mfano huo apo.
IMG_20230423_001638.jpg
 
Huko morocco usipime wanapiga mpaka mafataki hayo mamoshi yanalipuliwa namabomu ya mkono (grenades) ikisaidiwa na drones maalaumu ,hali ya hewa inabadilika na kuwa atmosphere ya kutisha mfano huo apo.View attachment 2598624
Waamue wao wakikaidi amri ni simpo tu Simba anapewa point anafuzu nusu fainali
 
Waamue wao wakikaidi amri ni simpo tu Simba anapewa point anafuzu nusu fainali
Hata Caf wanajua kuwa hiyo ni kawaida ya mashabiki wa Wydad,kwako moto na mafataki sawa na vuvuzela kwa huku yaani full fujo na hawajaanza leo kuingia na vitu hivyo, na hawajawahi kukatazwa ..
images (29).jpeg


Hawa ni vichaa hakuna na huo ni utamaduni wao hata Fifa hawawapingi.
images (28).jpeg
 
Hata Caf wanajua kuwa hiyo ni kawaida ya mashabiki wa Wydad,kwako moto na mafataki sawa na vuvuzela kwa huku yaani full fujo na hawajaanza leo kuingia na vitu hivyo, na hawajawahi kukatazwa ..View attachment 2598629

Hawa ni vichaa hakuna na huo ni utamaduni wao hata Fifa hawawapingi.View attachment 2598632
Naelewa ila huu waliotumia juzi ulizidi na ulikua sio wa rangirangi kama huo
 
Maadam baleke amekula akashiba akaamka mzima wa Afya basi wanasimba hawana hofu yoyote
Horoya 0-0 Wydad
Wydad 5-0 Horoya
Stade Malien 1-0 Wydad
Wydad 3-0 Stade Malien
Petro Luanda 2-1 Wydad
Wydad 5-1 Petro Luanda
Heart of Oak 1-0 Wydad
Wydad 6-0 Heart of Oak
Rivers 2-1 Wydad
Wydad 6-0 Rivers
Simba 1-0 Wydad
Wydad🔲-🔲 Simba

KAMA UNAZIJUA VIZURI HESABU, UNAWEZA KUJAZA VISANDUKU.
 
Waamue wao wakikaidi amri ni simpo tu Simba anapewa point anafuzu nusu fainali
Sisi ni timu kubwa tutapambana tushinde au hata tupate sare tu badala ya kulilia ushindi wa mezeni.
Ila kama huo moshi utakuwa unafuata wachezaji wetu tu wapinzani wetu unawakimbia hapo itabidi tupewe ushindi wa chee.
 
Horoya 0-0 Wydad
Wydad 5-0 Horoya
Stade Malien 1-0 Wydad
Wydad 3-0 Stade Malien
Petro Luanda 2-1 Wydad
Wydad 5-1 Petro Luanda
Heart of Oak 1-0 Wydad
Wydad 6-0 Heart of Oak
Rivers 2-1 Wydad
Wydad 6-0 Rivers
Simba 1-0 Wydad
Wydad[emoji824]-[emoji824] Simba

KAMA UNAZIJUA VIZURI HESABU, UNAWEZA KUJAZA VISANDUKU.
Usitutishe. Tutakuwa hatuendi halafu lazama zitakuwa juu yako.
 
[emoji81][emoji81][emoji81]eti kupewa point .amna cha bure hapaa kila mtu ale sahani yake wame shindwa kula kwa mkapa ngoja waka lishwe
 
Back
Top Bottom