Simba yapewa 5% kubeba Kombe la super league

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Salaam Wana jf

Ukistaajabu ya Musa ...utaona ya Mzee pharaoh, timu inayojinasibu Kwa kuota kuwa itamtoa Al ahly chaajabu imeambulia 5% za kubeba Kombe Hilo [emoji23][emoji23][emoji23] hiki ni kichekesho Kwa makolo

Kumbuka hizi takwimu zinakua calculated na wataalamu wakali wa mathematics.... probability mfano Yanga alipewa % nyingi ....akafika final ya champions

Hizi ni probability za timu kubeba super league cup

Mamelods,............23%
Al ahly .............. 21%
Wydad Casablanca...18%
Esperance de Tunis ....14%
Petro de Luanda .....12%
Tp mazembe. .......5%

Simba ( Ayubu) .........5%
Enymba 2%

NB: Je sisimizi (Simba) anaweza kumuua tembo ( Al ahly)[emoji23][emoji23]

 
Hakika utopolo mtaendelea kuteseka maisha yenu yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gongowazi mnateseka sana
 
Ndo ujinga huo umetumika kumpa mamelod % za alhaly hawa ni kama wamebet tu hakuna calculations wala nini na tambua haijatolewa na caf ni kampuni binafsi
Nawe ulivyo nachuki ukaamua kuitenga simba na tp mazembe umeweka na gap kabisa kwa hy tano ya tp na ya simba ni tofauti?
 
Yanga wamepewa % ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…