Simba yapewa 5% kubeba Kombe la super league

Simba yapewa 5% kubeba Kombe la super league

Ndo ujinga huo umetumika kumpa mamelod % za alhaly hawa ni kama wamebet tu hakuna calculations wala nini na tambua haijatolewa na caf ni kampuni binafsi
Nawe ulivyo nachuki ukaamua kuitenga simba na tp mazembe umeweka na gap kabisa kwa hy tano ya tp na ya simba ni tofauti?
Kwani kati ya Mzembe na Ayubu nani afadhari?
 
Salaam Wana jf

Ukistaajabu ya Musa ...utaona ya Mzee pharaoh, timu inayojinasibu Kwa kuota kuwa itamtoa Al ahly chaajabu imeambulia 5% za kubeba Kombe Hilo [emoji23][emoji23][emoji23] hiki ni kichekesho Kwa makolo

Kumbuka hizi takwimu zinakua calculated na wataalamu wakali wa mathematics.... probability mfano Yanga alipewa % nyingi ....akafika final ya champions

Hizi ni probability za timu kubeba super league cup

Mamelods,............23%
Al ahly .............. 21%
Wydad Casablanca...18%
Esperance de Tunis ....14%
Petro de Luanda .....12%
Tp mazembe. .......5%

Simba ( Ayubu) .........5%
Enymba 2%

NB: Je sisimizi (Simba) anaweza kumuua tembo ( Al ahly)[emoji23][emoji23]
View attachment 2785204
Yaani mamelod ana asilimia kubwa kuliko wote? Maajabu haya
 
Ahaaaaaaa

Mwenye nguvu ashinde
 
Tunaendelea na SIMBA........

16/10/2023
--Simba wameteuliwa Super league ili kuibeba Al Ahly.

17/10/2023
Mchambuzi: Hakunan mchezaji wa Simba anayeweza kucheza Al Ahly.

18/10/2023
Simba yapewa 5% kubeba kombe la super league
----Nitaendelea kuleta "matokeo" kadiri yatakavyokuwa yanatoka, kupitia kwa mkuu sana, Labani og
Tunajua kitakacuotokea .... that's y we're keep reminding kolo mamlaka
 
Back
Top Bottom