Simba yapewa 5% kubeba Kombe la super league

Hii league yanga hatushiriki au? Mbona kwenye mkeka hatumo
 
Hayo maneno yatakughalim
 
Uto wamepewa ngapi huko?
Aliyekula kala,



Mpaka mseme kenge nyie
 
Tunaendelea na SIMBA........

16/10/2023
--Simba wameteuliwa Super league ili kuibeba Al Ahly.

17/10/2023
Mchambuzi: Hakunan mchezaji wa Simba anayeweza kucheza Al Ahly.

18/10/2023
Simba yapewa 5% kubeba kombe la super league
----Nitaendelea kuleta "matokeo" kadiri yatakavyokuwa yanatoka, kupitia kwa mkuu sana, Labani og
 
Ajabu wanajiita ma giant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…