MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Mhindi hajawahi kubahatisha pale linapokuja swala la betting, Simba Sc kupewa odds kubwa dhidi ya mpinzani wake Wydad AC ina maana gani? Ni mtego au?
Mliosoma Cuba tuna mtudadavulie tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana uwezo wa kufuzu acha utani.Mechi ya leo Simba hana uwezo wa kushinda ila ana uwezo wa kufuzu, hivyo kama mtu wa kubet basi uwe na tahadhari.
Kikosi chenyewe kidogo,golikipa hakuna .Kikosi kinachohwnyeshwa na Kagera ,Prison na wenzake kiishinde timu ya mtaani kwetu.Acha utani mkuu.Hana uwezo wa kufuzu acha utani.
Hata Yanga na Vipers walipewa odds nyingi Yanga. Mwisho wa siku kilitokea nini?View attachment 2602500
Mhindi hajawahi kubahatisha pale linapokuja swala la betting, Simba Sc kupewa odds kubwa dhidi ya mpinzani wake Wydad AC ina maana gani? Ni mtego au?
Mliosoma Cuba tuna mtudadavulie tafadhali
Mpira una Matokeo katili sana, waulize man u janampira ni tofauti na namba za ods.
muhindi kula lazima hale kuna watakao mpa Simba au Wydad alafu mbungi inaweza ikaisha draw.
Hapana mkuu, simba hapigwi chini ya 5.Simba Leo anakufa SI chini ya goli 3-1
Kipindi cha kwanza anaongoza 2-0 nikajua Man U keshamaliza kazi,naamka asubuhi nawasha data notifacation zinaingia ft 2-2,kha,,,,!😱Mpira una Matokeo katili sana, waulize man u jana
.Tuliosoma Venezuela, tunawaambia gusa unase...