Simba yapewa odds mlima kwenye kampuni za betting! Mhindi hajawahi kuliwa.

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037

Mhindi hajawahi kubahatisha pale linapokuja swala la betting, Simba Sc kupewa odds kubwa dhidi ya mpinzani wake Wydad AC ina maana gani? Ni mtego au?

Mliosoma Cuba tuna mtudadavulie tafadhali
 
Nisaidieni link ya kuangalia game ya simba na wydad
 
View attachment 2602500
Mhindi hajawahi kubahatisha pale linapokuja swala la betting, Simba Sc kupewa odds kubwa dhidi ya mpinzani wake Wydad AC ina maana gani? Ni mtego au?

Mliosoma Cuba tuna mtudadavulie tafadhali
Hata Yanga na Vipers walipewa odds nyingi Yanga. Mwisho wa siku kilitokea nini?
Hawaziamini timu zetu kuwa zinaweza kufanya mambo makubwa.
 
Sasa ingia mkenge ukamfata Muhindi
 
Hata Utopolo kwa Rivas alipewa odds 6 na akashinda usidanganyike mkuu
 
Jinsi kuhesabu namba kiarabu[emoji39][emoji3][emoji1787]
واحد wahed. one.
اثنين ethnein. two.
ثلاثة thalatha. three.
أربعة arba-a. four.
خمسة khamsa. five.
ستة sitta. six.
سبعة sab-a. seven.
ثمانية thamanya. eight.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…