Simba yapiga chini fuko la pesa za Waarabu TSh. Milioni 890 wakihitaji saini ya Kibu Denis, Mo Dewji atia neno

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Klabu ya soka ya MC Alger ya Algeria, imetuma ofa ya $350,000 sawa na TSh. 890,322,650 ili kumnasa Kibu Denis. MC Wwako serious na Kibu wanamuhitaji haraka sana ndani ya dirisha hili dogo.

1738745936204.png

Pia, Soma: Hawa ndio Wachezaji Wazawa ghali zaidi Ligi Kuu Tanzania, Vilabu vikubwa Afrika vyawatolea macho

Kibu amebakiza mkataba wa mwaka mmoja na nusu na klabu ya Simba na kwenye mkataba huo kuna kipengele cha kumuachia kwa $1m sawa na Tsh 2.5 ambayo ni release clause.

1738745509638.png
 
Endeleeni na story za ndugu Micky Junior mwandishi wa mchongo.
Hakuna timu yoyote kwa sasa itakayo toa dola 100,000/= achana na 350,000/= kwa mshamuliaji/ winga ambaye katika siku 400 kwenye ligi ajafikisha goli 2.
Kwakua ni mbumbumbu fc wanao pigiwa Gita basi ni ruksa kucheza.
 
Klabu ya soka ya MC Alger ya Algeria, imetuma ofa ya $350,000 sawa na TSh. 890,322,650 ili kumnasa Kibu Denis. MC Wwako serious na Kibu wanamuhitaji haraka sana ndani ya dirisha hili dogo.

Kibu amebakiza mkataba wa mwaka mmoja na nusu na klabu ya Simba na kwenye mkataba huo kuna kipengele cha kumuachia kwa $1m sawa na Tsh 2.5 ambayo ni release clause.

Kolo bana. Kwa kua wamesikia Mzinze anàhitajika na Waarabu wameona wabalansishe kwa Rasta.
 
🤣🤣🤣 Mbumbumbu aisee
Na nyie mkaona msibaki nyuma
Muonekane mmo
Timu Gani imhitaji Kibu
Huyo ni wenu mtakufa nae ni ndoa ya kikristo ya kufa na kuzikana
 
Sasa Mashabiki Vilaza Ndio wamejazana Kutoa Kauli za Hovyo mtu kaleta Habari Na Chanzo kaweka!!
 
Endeleeni na story za ndugu Micky Junior mwandishi wa mchongo.
Hakuna timu yoyote kwa sasa itakayo toa dola 100,000/= achana na 350,000/= kwa mshamuliaji/ winga ambaye katika siku 400 kwenye ligi ajafikisha goli 2.
Kwakua ni mbumbumbu fc wanao pigiwa Gita basi ni ruksa kucheza.
Nasikitika kukwambia kwamba, achana na soka kwa sababu hujui kabisa soka.

Ova
 
Sasa Mashabiki Vilaza Ndio wamejazana Kutoa Kauli za Hovyo mtu kaleta Habari Na Chanzo kaweka!!
Ndio maisha ya huku mitandaoni chief, watu wana heal kwenye post za wengine 😀
 
Ukijua wewe inatosha, ila uo ndio ukweli kama ime kuuma sina namna.
Nimekusaidia tu kukupa ushauri ili usiendelee kupoteza muda wako kwenye soka. Hulijui.

Ova
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Endeleeni na story za ndugu Micky Junior mwandishi wa mchongo.
Hakuna timu yoyote kwa sasa itakayo toa dola 100,000/= achana na 350,000/= kwa mshamuliaji/ winga ambaye katika siku 400 kwenye ligi ajafikisha goli 2.
Kwakua ni mbumbumbu fc wanao pigiwa Gita basi ni ruksa kucheza.
Msimu wa 2021/22 top score unamkumbuka alikuwa nani?

Top assist alikuwa nani?

Lakini kwa kuongezea unamjua aliyekuwa MVP wa msimu huo alibeba hiyo tuzo kwa vigezo gani?
 
Endeleeni na story za ndugu Micky Junior mwandishi wa mchongo.
Hakuna timu yoyote kwa sasa itakayo toa dola 100,000/= achana na 350,000/= kwa mshamuliaji/ winga ambaye katika siku 400 kwenye ligi ajafikisha goli 2.
Kwakua ni mbumbumbu fc wanao pigiwa Gita basi ni ruksa kucheza.
Kibu angekuwa kwa vyura lazima mngeenda robo fainali.
 
Nimekusaidia tu kukupa kukushauri ili usiendelee kupoteza muda wako kwenye soka. Hulijui.

Ova
Sina haja ya kujua soka, mimi natoa fact tu, Kwanza hakuna timu ya kaskazin ikanunue mchezaji ambaye hata kugeuka hawezi inabidi akate kona, Kupiga kichwa au shuti mpaka ang'ate meno hakuna pesa ya mchezo kwa mwarabu endeleeni kudanganyana.
Wakati anang'ata meno ili apige, uo mpira watu walisha pita nao, kaskazin hawana u goigoi katika soka.
 
Endeleeni na story za ndugu Micky Junior mwandishi wa mchongo.
Hakuna timu yoyote kwa sasa itakayo toa dola 100,000/= achana na 350,000/= kwa mshamuliaji/ winga ambaye katika siku 400 kwenye ligi ajafikisha goli 2.
Kwakua ni mbumbumbu fc wanao pigiwa Gita basi ni ruksa kucheza.
Bongo ujuaji mwingi kupitiliza.

Wenzetu wana namna yao ya kuangalia mpira tofauti na hii ya goli na assists.

Tukisema tutumie kigezo chako basi Bruno Fernandez ni bora kuliko Zinedine Zidane.
 
Mchezaji asiyefunga siku 400 nani amsajili? Makolo pelekeni utumbo wenu bunju
 
Hamna timu itamsajili mchezaji asiefunga siku 400 endeleeni kuwadanganya mbumbumbu fc
 
Back
Top Bottom