Simba yapiga chini fuko la pesa za Waarabu TSh. Milioni 890 wakihitaji saini ya Kibu Denis, Mo Dewji atia neno

Simba yapiga chini fuko la pesa za Waarabu TSh. Milioni 890 wakihitaji saini ya Kibu Denis, Mo Dewji atia neno

Sina haja ya kujua soka, mimi natoa fact tu, Kwanza hakuna timu ya kaskazin ikanunue mchezaji ambaye hata kugeuka hawezi inabidi akate kona, Kupiga kichwa au shuti mpaka ang'ate meno hakuna pesa ya mchezo kwa mwarabu endeleeni kudanganyana.
Wakati anang'ata meno ili apige, uo mpira watu walisha pita nao, kaskazin hawana u goigoi katika soka.
Cha kuchekesha ni kwamba hao hao waarabu unaosema Kibu ndiyo anawakanda kila siku
 
Hatimaye wamepata chakuongea kesho kwenye vijiwe vya Gahawa.
 
Angekamatwa na bange tu HUKO.
Klabu ya soka ya MC Alger ya Algeria, imetuma ofa ya $350,000 sawa na TSh. 890,322,650 ili kumnasa Kibu Denis. MC Wwako serious na Kibu wanamuhitaji haraka sana ndani ya dirisha hili dogo.

Pia, Soma: Hawa ndio Wachezaji Wazawa ghali zaidi Ligi Kuu Tanzania, Vilabu vikubwa Afrika vyawatolea macho

Kibu amebakiza mkataba wa mwaka mmoja na nusu na klabu ya Simba na kwenye mkataba huo kuna kipengele cha kumuachia kwa $1m sawa na Tsh 2.5 ambayo ni release clause.

Sina haja ya kujua soka, mimi natoa fact tu, Kwanza hakuna timu ya kaskazin ikanunue mchezaji ambaye hata kugeuka hawezi inabidi akate kona, Kupiga kichwa au shuti mpaka ang'ate meno hakuna pesa ya mchezo kwa mwarabu endeleeni kudanganyana.
Wakati anang'ata meno ili apige, uo mpira watu walisha pita nao, kaskazin hawana u goigoi katika soka.
Naunga mkono hoja ndio maana WYDAD wakamuacha mzinzi wakamsajili SELEMANI MWALIMU
 
Back
Top Bottom